GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Daaah!Hatuwez kufanza mdahalo ili kusudi tukafanze kazi, tumeerewana ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah!Hatuwez kufanza mdahalo ili kusudi tukafanze kazi, tumeerewana ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahaaaaKwa mmoja wa wagombea Mdaharo utaishia kwenye self introduction, "PhD in ze mafuta of korosho"
Mbuzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lugha ya MalkiaMdahalo kwa lugha gani au yoyote tu?
Lissu wafundishe sheria na taratibu watu wako, Toka lini tume ikaandaa midahalo?Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.
Nawasilisha.
View attachment 1527961
View attachment 1527962
View attachment 1527963
Lisu bana, asa yeye tangu lini akakijua kisukuma,kinyarwanda,kinyamkenda?
Atulie akusanye wadhamini huko.