Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Jinsi anavyo ongea na jinsi hawa watu wanavyo msikiliza ni Kama vile wana viashiria vya kumdharau fulani hivi.Ombi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsi anavyo ongea na jinsi hawa watu wanavyo msikiliza ni Kama vile wana viashiria vya kumdharau fulani hivi.Ombi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
Mtaongea lugha zote msimu huu, Lissu kawashika pabaya!lissu kaachwa ajivinjaro mpaka haamini. Anakosa point alidhani polisi watakua ma dili nae awe bize luongea kuminywa, anatia huruma...
Yeye afanye mdahalo na Membe.Hayo yamesemwa na mh Tundu Lissu kupitia ukurasa wa Twitter wa baraza la vijana CHADEMA Bavicha.View attachment 1534293
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Kimenuka !Ombi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
😆😆😆😆Yeye afanye mdahalo na Membe.
Dr Magufuli ( PhD) ni Rais itifaki haimruhusu kufanya midahalo na raia!
Hopeless mind. Rais siyo raia?Yeye afanye mdahalo na Membe.
Dr Magufuli ( PhD) ni Rais itifaki haimruhusu kufanya midahalo na raia!
Katika vitu hawezi kukubali ni mjadala, labda azaliwe upya!!Ombi la Lissu kwa Magufuli hili hapaView attachment 1534304
Jinsi anavyo ongea na jinsi hawa watu wanavyo msikiliza ni Kama vile wana viashiria vya kumdharau fulani hivi.
Hahahaaaa.......... Lisu akiomba mdahalo tutamkutanisha na Paul Makonda!😆😆😆😆
Ombi la Lissu kwa Magufuli hili hapa
View attachment 1534304
Kwa hiyo anagombea nini kama ni rais?Yeye afanye mdahalo na Membe.
Dr Magufuli ( PhD) ni Rais itifaki haimruhusu kufanya midahalo na raia!
Ule ulikuwa utaratibu wa mtu binafsi sio sheria wala kanuni za nchi so sio lazima kufuata.Katika vitu hawezi kukubali ni mjadala, labda azaliwe upya!!
Huyu hata tu ule utaratibu alioasisi Mkapa wa kuhutubia taifa kila mwezi aliukacha ambao angekuwa mwenyewe hahojiwi, sembuse mjadala?!
Ni amiri jeshi mkuu..... Tuko kiitifaki zaidi siyo kiufipa ufipa!
Akifanya mdahalo ndo Tanzania itapata maendeleo? Acheni kubwabwaja, tunataka kazi!Lissu muonee huruma mwenzio asije kuanza kusema "Intapentuanyiwashuaship" badala ya Enterpreneurship
Hahahahaha
Tufungue vyuo vya language tupu bongo tupate wakalimani wa lugha tofautiyofauti wa kutosha!
haya ndio majibu ya ombi na hoja ya Lissu? Kwani mnapungukiwa nini ikifanyika mdahalo kujadili mtakabali wa nchi?View attachment 1534311
Kamanda kasahau kumeza hii!
Upinzani ilani yenu ya uchaguzi imetoka?
Bring forward your election manifesto.
CCM inayo tayari ilani yake ya uchaguzi.
Waleteeni wananchi waichambue ilani yenu ya uchaguzi.
Acheni blahblah zisizo na tija.