Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

mwaka huu watakula walikopeleka mboga!
 
Simpatii picha mgombea wa CHAUMA Bw.Spunda na hoja zake za kuku na ubwabwa na ujii😂😅
 
CCM is a zombie land, and every person in it is literary brain-dead.
And unfortunately we all know you can't debate with a zombie.
Ccm ina maprofesa na PhD holders wengi tu, hawawezi kuwa "brain-dead".
 
Itifaki hairuhusu Rais wa JMT kufanya mdahalo na raia wa kawaida.

Huo mdahalo CCM itawakilishwa na Paul Makonda!
 
Sina hakika kama anamuogopa ila nachojua hatokuwa na mda wa ziada wa kushiriki kitu ambacho hakiko kwenye ratiba yake
Muda wa kampeni huu nyie Lumumba. Hana muda yuko wap? Wanashiriki kina Trump itakuwa huyu wa Chatle!!!?
 
Tundulisu Hana hadh ya kukaa Na Magufuli et wakafanya mdahalo acheni kuwa wajinga
 
Kama kwel anapenda mdahalo awaited waandish wa Habar au Wanafunzi wa vyuo wam challenge alafu tuone kama atatoka
 
Ila wasije na mabulungutu ya pesa.

Labda walete mahindi ya kuchoma tu na kajogoo... kuku kishingo 🤣🤣
 
Jibu utalipata kwenye mdahalo

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.
 
Mdahalo utapunguza wagombea wanaodhani urais ni kama umachinga

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…