M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
mwaka huu watakula walikopeleka mboga!Magufuli akimkimbia Lisu kwenye mdahalo huu atazidi kujichimbia kaburi la kukataliwa na wapiga kura.
Kwa makusudi kabisa Lisu ametegeshea Magufuli hili zigo la kushiriki mdahalo wa wazi ama kukataa.
Naliita zigo kwasabb Magufuli akikubali kushiriki ni MSALA kwake maana yuko poor Sana ktk kujenga hoja. Hivyo ataabika vibaya mno kwenye mdahalo huo.
Na akikataa pia ni MSALA. Maana itaonekana anamuogopa mtu mdogo kama Lisu. Mbali na umri hata kwenda shule Magufuli ana madarasa mengi kuliko Lisu (ana PhD) na ni rais.
Sasa watu watajiuliza iweje unamkimbia na kumuogopa mtu kama Lisu? Itampunguzia na kumshushia personality kwa wapiga kura.
My take:
Mwaka huu ccm mmelokoroga na mtalinywa. Hali yenu tete Sana.