Ona jinsi Israel itakavyoshindwa vita safari hii ambako wengi hawajaona

Israel ni dhaifu sana!
 
Hivi kwa nini jeshi la ukombozi wa Palestina (PLO) liko kimya? Wamewaachia wanamgambo wa HAMAS peke yao
Kwasababu njia wanayotumia HAMAS kupambana na Israel siyo sahihi.
Siyo PLO hata Iran kawakimbia kwasababu akianza kuwasaidia Hamas basi naye ataonekana km ndiyo mratibu mkuu wa tukio la octoba 7.
 
Huku mnaimba vita isitishwe watoto wanakufa huku mnaomba Israel ishindwe vita!! Wavaa kobazi ni wajinga no wonder mlishikiwa akili na mwamedi aliyekua hajui kusoma wala kuandika.
 
Wanenyamaza wote wanasema hawapo Gaza,wapo nje ya Gaza. Pole kwa imani isiyokuoa ushindi wa vita
 
We unaota Israel wanatafuta pakukimbilia huko Gaza, wanaomba Qatar iwasemeshe Hamasi wasimamishe vita masaa 72 ili hivyo vifaru vitoke salama hapo Al shifaa hospital
Source?
 
Aisee umenikumbusha mbali sana.
Unakuta timu inashindwa ku score halafu inaanza kubet enzi fulani akitoka droo halafu fulani akafungwa na fulani na sisi tukamshinda fulani fulani atakuwa amepoteza kwa kudroo. So what shinda game.
Siwaungi mkono jews lkn Hamas hesabu zao zilikuwa za kitoto sana na waliowadanganya wametishwa na meli za USA kusogea wakaufyata kwani hawakujua kuwa Israel = US = UK _~ Moscow?
 
Ungeweka na namba ya simu ili MOSSAD na CIA na M16 wakisoma wakupigie simu uwasaidie kufanya analysis on how they can avoid yote uliyoeleza here in above.
 
Meli zenyewe Hizbullah wanazipigia hesabu tu.Siku ukisikia zimezamishwa usishangae.
 
We unaota Israel wanatafuta pakukimbilia huko Gaza, wanaomba Qatar iwasemeshe Hamasi wasimamishe vita masaa 72 ili hivyo vifaru vitoke salama hapo Al shifaa hospital
Siyo mbaya kujifariji unapokosa mfariji.
 
Israel imekataa kutekeleza azimio jengine la baraza la usalama la umoja wa mataifa la hapo jana la kuwataka wasitishe vita angalau kwa muda kuokolewa mateka na kuruhusu misaada.
Kwa kiburi kikubwa leo tena wameanza kudondosha vipeperushi kusini ya Gaza ikiwataka watu waondoke maeneo walipo waende maeneo salamaa
Wape kwenye usalama.Ndio hayo tuliyoyaeleza hapo juu na ndio mwendeleza wa kuangamia kwa Israel ambako watu hawajakuona.

Israel drops leaflets into southern Gaza signalling expansion of operations

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…