Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

😂 Kuna mmoja nilimuonea huruma nikamwambia aende hospital oya Mpka Leo nachukiwa htr mm ndy adui yake namba mbili akitoka shetani
 
Uvaaji wa suruali nao ni janga kubwa,sio harufu tu hata ongezeko la magonjwa ya fangasi sehemu za siri kwa wanawake ni kubwa sana.Mtu anavaa suruali wiki nzima,anaishi maeneo yenye joto kali unategemea nini,hivi unafikiri aliebuni vazi la mwanamke kuwa gauni au sketi alikuwa hana akili.Mwanamke anazurura na suruali siku nzima jioni anaenda kukutana na mwanaume unategemea nini hapo...
 
Hili nalo ni sababu
 
Huwa nashangaa sana huko Instagram watu wanavyonunua vipipi, makorokoro baadhi ya wanawake wananuunua wanaweka huko chini.... So sad indeed.
 
Isipelekee kuzidisha kusumbua huouke kwa mausafi sijui product gani gani. K mbona yajisafisha, kama ni msaada basi uwe kidooogo sana ngozi ya nje.

Mda mwingine maskinii wanalazimika kuzidisha usafi kisa kuna jitu linataka sehemu ya kuweka tupu, liwekepo mdomo. Mnapeana presha zisizo na msingi. Mtu hazai kwa mdomo, na k yake ni dudu sio ulimi wala pua yako.

Hata kama kunuka kabisa(ugonjwa) hakutakiwi, haimaanishi kuwa ndio panatakiwa kunukia. La.

K ina harufu yake asiliì. K inaharufu ya k full stop.
 
Naa mnaosisitiza kuwa sio wasafi hamjui tu.

Hii phenomenon inafanana na ile hadithi ya midomo/lips kukauka, kupauka na kupasuka; mtu mwenye lips laini akijidanganya kuanza kulamba lips ndio zinaanza kukauka.

Kadri zinavyokauka ndio analamba zaidi, na ndio zinakauka na kupasuka zaidi! Bora aache apate tiba lip balm/therapy etc.

Ndio hivyohivyo kwa usafi kwa mwanamke. Unaweza kuta alikuwa kawaida, ila kaanza usafi akavuruga kidogo. Maskini kazidisha usafi na ndio kavuruga zaidi. Bora akapate matibabu na apache hapo mahala bila kupasumbuasumbua.
 
Nilitegemea kuona maon mengi ya wanawake kwenye huu uzi ila naona wengn wanaukaushia au wanaukimbia sijui ndo ikulu yenyewe wamepgwa
Nilikua nasoma comments tuu, wasichokijua wanaume wadada wengi wanaonuka nikwasababu ya umalaya tuu...wachache wanakua na maambukiz ya kawaida, yaan ukishachanganya majasho ya wanaume lazma unuke tuu mbegu zina shombo sana ku..ma,[emoji44]ni
Hao mnaowalalamikia wengi ni maslay tuu ambao wanagongwa january mbaka december wanaishi kwa kutegemea papuchi kwaio lazma wanuke analalwa leo mbegu hazijatoka anakuja anakutana na mwingine.

Tulieni mmwage pazur..mmezidi kukojoa ovyo ukiona mdada pisi unapapatika kumbe amelalwa mbaka na wazee.
Na hamkomi kuzama chumvini.

Enewei wadada msitumie sabuni kusafisha nyuchi zenu jamani.
Na ukions unanuka wahi hospital
Ukinuka utajua tuu kupitia chupi yako mnuse vyupi ivyo mkivua.
Mi kila nikivuaga pichu uwa nanusa naenjoy kusikia harufu tamu harufu ya asili ya ukeuke.
 
Wengi malaya ndio maana wananuka, wanafanya huku hawajisafishi
Sio wote wanaonuka ni Malaya wengine wamesababishiwa na wauguzi wa Afya kipindi Cha kujifungua mtoto kafia tumboni kuanza kuugua fistura shida ndio inaanzia hapo mda mwingi anakua anatokwa na harufu alafu fistura ni ugonjwa wa aibu sana,
 
Sio wote wanaonuka ni Malaya wengine wamesababishiwa na wauguzi wa Afya kipindi Cha kujifungua mtoto kafia tumboni kuanza kuugua fistura shida ndio inaanzia hapo mda mwingi anakua anatokwa na harufu alafu fistura ni ugonjwa wa aibu sana,
Percentage ndogo sana hii mkuu. Sidhani hata kama inafika 1%. Nakubaliana na Esther hapo juu. Ukishaanza biashara ya kuchanganya mb% ni very easy kupata infections. Iko ivyo yani. K ya mwanamke ni kiungo very sacred. Mungu aliiumba kwa upekee mno. Lakini inapoanza kutumika kinyume na mapenzi yake, tena kwa karne hii ambayo kuna many sexual infections, si rahisi kutoboa.

Kila siku anaingia huyu wa vikoba, anatoka huyu wa gym, anaingia huyu sponsor, anatoka huyu mwanajeshi...utaacha kunuka. Na K yake ni maji tu, mambo ya kuchokonoa ndo tunaharibu flora yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…