Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Kwani wewe ukienda msalani au bafuni ukikuta kuchafu si unasafisha halafu unatumia.

basi ni hivyo hivyo ukikuta mbususu ina harufu kali hupendezwi nayo safisha halafu utumie. 😁🙃🙌
Ingekuwa ni hivyo vyoo vyote vya bar, kanisani, misikitini, mjini, shuleni, vyuoni, nk vingekuwa ni visafi.
Labda kwa sababu ni vitu vya public (sio vya binafsi), hivyo ambae sio wako kabisa akawa kama hivo vitu vya public
 
Wanawake wa mjini wanazidisha usafi na kuondoa ulinzi wa asili wa ukeni(normal flora bacteria),bacteria hao ni maalum kwa ajili ya kuungika uke dhidi ya fangasi(candida).
Hivo harufu hutokana na uwepo wa fangasi sana sana japo kuna weza kuwa na shida zingine...my take wanawake jifunzeni namna ya kujisafisha usitumie sabuni zenye dawa huko ikulu
 
Ndege hufananao huruka pamoja.Jitathimini maeneo unayopenda kujihusisha nayo.
Zuma-Arrest-2-696x365.jpg
 
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
718sPOcQLlL.jpg
 
Ingekuwa ni hivyo vyoo vyote vya bar, kanisani, misikitini, mjini, shuleni, vyuoni, nk vingekuwa ni visafi.
Labda kwa sababu ni vitu vya public (sio vya binafsi), hivyo ambae sio wako kabisa akawa kama hivo vitu vya public
Sheria ya unadhifu, inachukua popote iwe hadharani ama binafsi. Usafi ni muhimu. 😁🙃🙌
 
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
Ndugu wanawake wengi ni wachafu sana hawajui kuoga ndugu na hili ndo tatizo,,,wengi wanaoga mafuta na make up,,,nimefanya utafiti mdogo tu utakuta mwanamke mzima anaenda na maji lita 2 au 3 af anatoka ameoga na amefua nguo zake za ndani huwa najiuliza wanaenda kuosha au wanaoga? Kama hapo kwann asinuke? Pia sik iz wanatumika sana kias kwamba wanapata magonjwa bacteria, fungus au virus
 
Bado kuna mtu ataendelea kuuliza kwanini kwa mpalange kunakuwa maarufu? Rejea Hata mkutano wa UWT Njombe.

Ni ukweli mchungu mno kwamba promo na kelele zinazopigwa kuhamasisha sex na actual phenomena ni mbali na Tofauti kama mashariki na magharibi. Nadhan hiyo miziki ya hamasa na promo nyingine zingehamia kwenye kuboresha maeneo husika.
 
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
Ni kweli hivi vidada vingi vya mijini hasa hivi mnaita "vislay kwini" sijui "pisikali" vina shida hii lakini hata baadhi ya wamama nao wana shida hii.

unakuta ukiingiza mb.oo ukeni sasa pale unapoichomoa ndo inatoka na harufu hiyo mbaya kali na nzito kama ile ya ng'onda au kitu hai kilichooza uko ndani ya uke. yani usiombe kukutana na hii kitu inakata stim zote yani utafukuza uyo mtu apoapo.

kule vijijini uwezi kukutana na mambo kama haya. haya yapo mijini zaidi.

mm nazani ni sabab watu wanakula mno vitu vya kukaanga mfano machipsi haya na vitu vya viwandani vyene makemikali mfano hizi soda na hawanywi maji ya kutosha. mm uwa naamini sana kwene vyakula vya kuchemsha (badala ya vile vya kukaanga) na matumizi ya maji ya kunywa ya kutosha.

mbaya zaidi wahusika hawapo tayari kuambiwa wana tatizo. yani ukitaka matatizo mwambie dem ana hiyo harufu mbaya haivumiliki hawakubali ng'oo na utanuniwa mazima.
 
Back
Top Bottom