Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Mademu wa kibongo sijuwi, unakuta hata na watu wazima pia wako hivyo....yaani toka asubuhi kashinda kavaa khanga tu bila chupi na hajajichamba sehemu zote za siri na hata mswaki hajapiga ila yuko busy kutizama wapitao njia na kuteta wenzao.
Hahahaaaaaaa
 
Sahihi kabisa!
 
Madawa ya uzazi Wa mpango hayo, ma P2 na Yale mavidonge ya kuzuia mimba wakisha anza kuyameza ndiyo madhara yake hayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuacha kutoa harufu hakuna dawa no kuacha matumizi ya madawa ya kuzui mimba tu
 
Ilo tatizo nimekutana nalo kwa wanawake wengi sana nilioDate nao . Na ni warembo wasafi lakin dah wataalamu wanasema ni mifumo ya chakula, na vibwagizo vya ukeni.

Mara fangasi.
Yaani ni shida kiongozi!
 
Madawa ya uzazi Wa mpango hayo, ma P2 na Yale mavidonge ya kuzuia mimba wakisha anza kuyameza ndiyo madhara yake hayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuacha kutoa harufu hakuna dawa no kuacha matumizi ya madawa ya kuzui mimba tu
Anhaa, kumbee!
 
hapa umemaliza mchezo..

nilikuwa natafata coment kama hii..

wanaume pia mnachangia mana mtu anatoka tgo anahamia halotl hapo hapo matokeo yake ni mixer za harufu za ajabu,
na wadada hata hawaelewi km wanaharibika maskin

shukran sana
 
Wanarogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…