Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Unakuta unamwambia kuwa umegundua ana hilo tatizo anakumind tena anaona unamsema vibaya....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ni changamoto kwa kweli, ni changamoto ya uelewa kuwa kibinadamu ni sawa kupata/patikana na infections down there, lakini si sahihi kuishi na hizo infections. Hata hivyo bila kuchoka ni lazima muendelee kuwaambia.
 
wazazi wananiuliza nitao lini...mi naishia kukwepa kuwajibu...mpaka wanahisi sio mwanaume kamili,,,mpaka wadogo zangu washaoa mimi bado,,,nikikumbuka ile harufu nachukia ghafla
🤣🤣🤣🤣🤣
piga moyo konde tu mkuu!
 
Zipo 7babu nyingi mno.zifuatazo zinaweza kuchangia tu:-
Kukojoa majiani bila kupitisha maji kunako
kupigwa paipu sana na ya kila mwanaume anaemshawishi kwa maneno ya love au pesa
Kuosha papuchi kwa sabuni -Tunaambiwa zinasababisha kansa ya kunako
ongezeko la wanadada wengi kuliko wanaume a ambao hawaoleki
 
Ni wakati sasa hili somo lipelekwe mashuleni form four huko au form 3, kwanini wanafunzi wasifundishwe hata kijuu juu tu juu ya afya ya uke? Wavulana na wasichana wadogo wanasumbuka sana juu ya hili, na wengi hawaelewi “what is normal na what is abnormal in a vagina”.

Kwa ujumla ewe mvulana mleta mada nikusaidie, harufu mbaya ukeni husababishwa na magonjwa ya uke ambayo mwanamke yeyote ambaye yuko sexually active hupata walau mara 1 au mbili kwa mwaka na usipokuwa makini yanakuwa ni magonjwa yako ya mara kwa mara, magonjwa hayo ni pamoja Bacterial vagnosis (BV) na Trichomoniasis, Magonjwa mengine ni gono na kaswende. (Gono na kaswende sio common kwa sasa)

Mambo mengine yanayosababisha harufu au shombo fulani lisilokuwa la kawaida ukeni, mimi haya huyaita HALI na si MAGONJWA. Mfano hali ya kuharibika kwa PH ya uke kwa sababu mbalimbali kama vile stress, Shahawa (ndio shahawa huharibu (throw away) PH ya uke, pia; kujisafisha kwa sabuni au kemikali, kujifukiza na uturi au kupaka marashi etc. haya pia husababisha harufu natural ya huko kuharibika sababu ya kupungua au kuzidi kwa bakteria walinzi wa sehemu husika hali inayosababisha ekolojia ya uke kuharibika (PH), hapa naomba nieleweke kuwa hizi nilizoziita HALI ukiziendekeza hupelekea maambukizi ya BV.

Jambo lingine ni matumizi ya dawa za kuzuia mimba, hizi hazileti magonjwa lakini mara nyingi side effects zake ni kuharibu homoni, ambapo kuharibika kwa homoni huhusishwa moja kwa moja na kuathirika kwa PH, tunarudi kule kule paragraph ya pili.

Jambo la mwisho ni kutoa mimba kienyeji na kutokusafishwa/kutokusafishwa kwa usahihi.

NB1: Kule juu sijaitaja Fungus/yeast infection sababu hii haisababishi harufu, tuache kumix mambo, yeast infection husabaisha miwasho, hubadili utoko kuwa mzito kama mafungu mafungu, hubadili rangi ya utoko (discharge) etc Dalili za magonjwa ya uke huwa zinaendana jua una dalili gani ili Dr afahamu anakutibu nini, nasema hivi sababu kwenye hospital zetu za wanyonge hizi mara nyingi hata Dr hafanyi vipimo, wanatumia uzoefu, ukichanganya dalili inakula kwako.

NB2: Magonjwa yote hutibika hospital, mgonjwa awahi hospital aonapo dalili kama , kuwashwa, ngozi ya uke kuwa nyekundu na nyepesi, kupata utoko wa rangi ya maziwa iliyokoza, njano, mawingu au ukijani. Jambo hili si la aibu kinachomtofautisha mwanamke asiye na harufu mbaya na mwenye harufu mbaya ni hali ya kujitambua, wengine wanajitambua haraka wakiona kitu hakiko sawa hivyo kutafuta matibabu haraka sana, na wengine ndio hao hawatambui chochote wanaishia kuishi na hayo magonjwa na wengine hudhani ni hali ya kawaida kuwa na harufu mbaya, tuwafunze mabinti wadogo kwa upendo kuwa si sahihi kunuka chochote katika mwili, tuwaelekeze na si kuwabully, hii ni pamoja na harufu mbaya za kwapa, kinywa na vinginevyo, kabla ya kuwasisitiza usafi tuwasisitize matibabu. Mwili wa mwanadamu ambaye ni mzima/hajafariki hautakiwi kunuka

Kuna mmoja nililala nae siku ya kwanza sikuona maana nilienda kwake na taa alizima lakini niliskia kaharufu kwa mbali baada ya kupima oil
Ila day 2 alikuja kwangu sikuzima taa bdae tunabadili style nakuta utoko kwenye dhakari hata mood ya tendo ilikata sikumueleza pale pale ila tu nikamwambia najiskia vibaya tukaacha badae nikamtumia sms juu ya tatizo lake aende hospitali akakubali na dawa za kutumia akandikiwa
 
Ulifanya jambo jema, ubarikiwe sana. ❤️
 
Chomeka chomeka ndio inawaharibu,haiwezekani mtu mmoja ulale na wanaume 10 tofauti per month
 
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
Unategemea nini kwa hawa madada zetu, unakuta demu ana mabwana 10 au kwa wakati mmoja wanaomuweka mjini na yeye akijiona mjanja kumbe anaharibiwa tu. Mtu ana mabwana 10 anakuwa hana muda wa kujisafisha maana ratiba yake inakuwa tight, akitoka huyu anaingia huyu....muulize Kajala na mwanaye watawaambia haya.
 
Wazungu wao wanatumia vitu kama vagisil kusafisha hayo maeneo. Wadada Tz hawatumii. Na hawajui ni muhimu kufanya hivyo. Search google VAGISIL Ili kuijua ni nini. Ni kama sabuni za maji maalum kwa kusafishia hizo sehemu
Sasa hapa utawafanya madada wadangaji kukosa soko kwani wenyewe wanadai wanaume wao wanapenda ile harufu ya uozo, kunuka mdomo, na shombo la mavi...kama hawanuki wanakosa market. Kwa kweli kuna wanume wana roho ngumu.
 
Kingine ni huo mchezo wao wa kuruka ukuta unakuta kafukuliwa alaf mwana anarudi kwenye Tamac anapiga napo hapo ina maana amechukua normal flora wa Terminal GI anawaintroduce per vaginal kinachofuata ni infections mtindi discharge + fishy odour
yan pisi ni kali shombo ni ferry ptuuu mimi nlikikutan nae mmoja alivoondoka nkamwandikia dawa akanunue ila nlimdanganya ni anti histamine sababu alidai ana allergy na rough rider
 
Mtazungaka sana kupata majibu ya hili, ukweli ni wanachanga mishahawa ya wanaume kibao na matokeo yao ni hayo
 
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
Yale yaleeee, mademu hawana muda wa kufanya usafi kwa sababu ratiba inawabana kutokana na kuwa na mabwana lukuki. Unaweza kuta kademu kana miaka 20 tu ila kana mabwana zaidi ya 7 kanawapiga ratiba tofauti tofauti, anatoka huyu anaingia huyu ndiyo maana unakuta wanakuwa hawana muda wa usafi zaidi ya kubadilisha shuka na chupi tu.
 
dah!! inabidi wabadilike kwakweli
 
Kingine ni huo mchezo wao wa kuruka ukuta unakuta kafukuliwa alaf mwana anarudi kwenye Tamac anapiga napo hapo ina maana amechukua normal flora wa Terminal GI anawaintroduce per vaginal kinachofuata ni infections mtindi discharge + fishy odour
yan pisi ni kali shombo ni ferry ptuuu mimi nlikikutan nae mmoja alivoondoka nkamwandikia dawa akanunue ila nlimdanganya ni anti histamine sababu alidai ana allergy na rough rider
oh, ila ulimsaidia sana!
 
Back
Top Bottom