- Thread starter
- #21
hiyo inakuwa siyo amazing mkuu, ni mbaya!Sometimes usiumize kichwa sana mkuu naturally ndivyo walivyoumbwa hawa viumbe k.. hata ikioshwa vipi ikicheua ute haikosi kiharufu fulani amaizing..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo inakuwa siyo amazing mkuu, ni mbaya!Sometimes usiumize kichwa sana mkuu naturally ndivyo walivyoumbwa hawa viumbe k.. hata ikioshwa vipi ikicheua ute haikosi kiharufu fulani amaizing..
Aisee, umepatia kabisa. Niliandika kabla sijasoma comment yako, lakini Yes... ndio hivyo.alaa, kumbe. elimu na umaskini itakuwa vinahusika hapa....labda vina gharama sana!
ahsante sana mkuu!Wanawake hawajui hizo sehemu HAZITAKIWI KUTOA HARUFU KABISA. Kwa wazungu, wanatumia hizo regularly kusafisha hayo maeneo. Ila kwa wadada tz, hata deodorant tu yenyewe hawaijui. Kwa ufupi ni umaskini wa hela na elimu
Sio kweli mkuu. Hazitakiwi zitoe harufu hizo sehemu.Sometimes usiumize kichwa sana mkuu naturally ndivyo walivyoumbwa hawa viumbe k.. hata ikioshwa vipi ikicheua ute haikosi kiharufu fulani amaizing..
shukraniAisee, umepatia kabisa. Niliandika kabla sijasoma comment yako, lakini Yes... ndio hivyo.
anhaa, vema kiongozi!Iyo kutoa harufu kali sehemu za siri inasababishwa na P.I.D sikuhizi imekua shida kwa wadada wengi pamoja na fungus sugu Aya magonjwa yanasababishwa na kutoa mimba Mara kwa Mara, kutumia dawa za antibiotics Sana haya madawa ya kuzuia mimba pia namna ya kujisafisha wasichana wengi wanadhani kujisafisha kwa Kuingiza vidole na sabuni ndo wanatakata kumbe ndo wanaharibu kabisa tena wanaonuka wengi ni Hawa wadada wa mjini
Asante..sio kidada kinavaa chupi ya plastic material na usiku akioga anarudia hiyohiyo.Una nyota ya harufu mbaya.fatufa hela ule k nzuri
Damn you hit it[emoji23][emoji23]Asante..sio kidada kinavaa chupi ya plastic material na usiku akioga anarudia hiyohiyo.
Kwa vigoriBikraa zikowap sikuizi
Dah [emoji44]Mkuu au ndo virusi vya covid 12
Hauko sahihi 100%. Harufu mbaya inayotoka ukeni ni magonjwa,kwani uke hujisafisha wennyewe na hauna harufu.ukiona harufu hata kidogo ujue bacteria(uchafu).Sometimes usiumize kichwa sana mkuu naturally ndivyo walivyoumbwa hawa viumbe k.. hata ikioshwa vipi ikicheua ute haikosi kiharufu fulani amaizing..
Mleta mada alihitimisha kwa kusema kuwa kwenye huu uzi tutajifunza kitu,kumbe alikuwa sahihi.Nimejifunza kitu hapa.Shukrani mkuu!Ni wakati sasa hili somo lipelekwe mashuleni form four huko au form 3, kwanini wanafunzi wasifundishwe hata kijuu juu tu juu ya afya ya uke? Wavulana na wasichana wadogo wanasumbuka sana juu ya hili, na wengi hawaelewi “what is normal na what is abnormal in a vagina”.
Kwa ujumla ewe mvulana mleta mada nikusaidie, harufu mbaya ukeni husababishwa na magonjwa ya uke ambayo mwanamke yeyote ambaye yuko sexually active hupata walau mara 1 au mbili kwa mwaka na usipokuwa makini yanakuwa ni magonjwa yako ya mara kwa mara, magonjwa hayo ni pamoja Bacterial vagnosis (BV) na Trichomoniasis, Magonjwa mengine ni gono na kaswende. (Gono na kaswende sio common kwa sasa)
Mambo mengine yanayosababisha harufu au shombo fulani lisilokuwa la kawaida ukeni, mimi haya huyaita HALI na si MAGONJWA. Mfano hali ya kuharibika kwa PH ya uke kwa sababu mbalimbali kama vile stress, Shahawa (ndio shahawa huharibu (throw away) PH ya uke, pia; kujisafisha kwa sabuni au kemikali, kujifukiza na uturi au kupaka marashi etc. haya pia husababisha harufu natural ya huko kuharibika sababu ya kupungua au kuzidi kwa bakteria walinzi wa sehemu husika hali inayosababisha ekolojia ya uke kuharibika (PH), hapa naomba nieleweke kuwa hizi nilizoziita HALI ukiziendekeza hupelekea maambukizi ya BV.
Jambo lingine ni matumizi ya dawa za kuzuia mimba, hizi hazileti magonjwa lakini mara nyingi side effects zake ni kuharibu homoni, ambapo kuharibika kwa homoni huhusishwa moja kwa moja na kuathirika kwa PH, tunarudi kule kule paragraph ya pili.
Jambo la mwisho ni kutoa mimba kienyeji na kutokusafishwa/kutokusafishwa kwa usahihi.
NB1: Kule juu sijaitaja Fungus/yeast infection sababu hii haisababishi harufu, tuache kumix mambo, yeast infection husabaisha miwasho, hubadili utoko kuwa mzito kama mafungu mafungu, hubadili rangi ya utoko (discharge) etc Dalili za magonjwa ya uke huwa zinaendana jua una dalili gani ili Dr afahamu anakutibu nini, nasema hivi sababu kwenye hospital zetu za wanyonge hizi mara nyingi hata Dr hafanyi vipimo, wanatumia uzoefu, ukichanganya dalili inakula kwako.
NB2: Magonjwa yote hutibika hospital, mgonjwa awahi hospital aonapo dalili kama , kuwashwa, ngozi ya uke kuwa nyekundu na nyepesi, kupata utoko wa rangi ya maziwa iliyokoza, njano, mawingu au ukijani. Jambo hili si la aibu kinachomtofautisha mwanamke asiye na harufu mbaya na mwenye harufu mbaya ni hali ya kujitambua, wengine wanajitambua haraka wakiona kitu hakiko sawa hivyo kutafuta matibabu haraka sana, na wengine ndio hao hawatambui chochote wanaishia kuishi na hayo magonjwa na wengine hudhani ni hali ya kawaida kuwa na harufu mbaya, tuwafunze mabinti wadogo kwa upendo kuwa si sahihi kunuka chochote katika mwili, tuwaelekeze na si kuwabully, hii ni pamoja na harufu mbaya za kwapa, kinywa na vinginevyo, kabla ya kuwasisitiza usafi tuwasisitize matibabu. Mwili wa mwanadamu ambaye ni mzima/hajafariki hautakiwi kunuka