Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Basi utaliwa wewe mkuu
 
Tunaowaaribu ni ss wanaume inabidi tubadilike ss kwanza, Ila suala la kumshirikisha Mungu Mambo ya ndoa nimuhimu
 
kiongozi narudia tena haijalishi ni mazingira gani mabinti zako watajifunza kuhusu hayo maswala,

wewe siku ukiwa unajua kabisa kuwa mabinti zako kuna wanaume wenzako huko wanapewa namba,na ukawa uko sawa kabisa huumii wala nini na ukaona ni poa tu ni mwili wake ana haki ya kutumika anavyotaka

na ukaja hapa na kueleza majestically kuwa uko sawa na ni maamuzi yak na mwili wake ,basi ntakuvulia kofia na kamwe sitatia neno juu yako

ila kwa sasa labda kwa kuwa huna mabinti bado,

labda kwa kuwa unao mabinti ila bado wachanga hawajaanza kukuletea picha picha za kupevuka,

labda kwa kuwa unao na wameshapevuka ila hujawahi kudungua lolote baya juu yao,

we tulia tu,tulia kabisa tena ukiweza wahurumie wale ambao mabinti zao wamewahi kufanyiwa mchezo kama huo
 
Halafu hata sioni kosa lako.
 
Kumbe bado kuna wanaume wenye akili , nimekupenda bure[emoji848]
 
daaaah,sijui nije PM[emoji8][emoji8]
 
I would like to admit that baadhi yetu (wanawake) ni watu wa ajabu sana.

Why nasema hivi anal sex kwa wanawake na wanaume is very different. Mwanaume anaefanya anal sex ni gay na ameshaamua hayo ndo maisha yake and therefore anafanya willingly hata iwe Mara ya kwanza.

Lakini kuwa wanawake hili tendo linatanguliwa na sababu. Zikiwemo curiosity, monetary promises, desperation, etc. Kwamba their willingness to have anal sex is contingent on some factors such as those aforementioned.

Unfortunately sio wengi wanaoweza kukwepa mtego huu and no matter how bad the experience was utakuta anaenda kuwasifia na shoga zake Ili na wao waharibikiwe. Manake anal sex ni kuharibikiwa tu hakuna lingine.

Utakuta na wengine wanaona sifa unaanza kuwa ni mchezo wao. And worse still unakuta wengine ndo mtego wao wa kuonyesha wamewazidi wanawake wenzao kwa kuwapa wanaume wenye ndoa zao/ mahusiano yao 'jicho'.

It is a very pathetic practice and it should be discouraged.

Acha haya majicho yaliyokuwa wazi yatumike yabaki kama magofu. These other upright and decent women keeps your butts intact. Let's not ruin our bodies, reputation and principles just to please men.

Once buttholes are exhausted who knows they might want to open up other branches.... say penetrate nostrils and ear canals. Wahuni sio watu wazuri.
 
Ubarikiwe.
 
Usipomla ataliwa na wenzio. We kama vipi funga mkanda na uchague moja... Umle ama umteme.
 
Nimekuelewa japo kingereza kimenifanya niumwe[emoji16].Umeongea vzr kabisaaa ntatunz tigo yangu
 

Povu lote la nini?
 
T
Asante mkuu,atajisikiaje?anaongea tu ilimradi...umeongea kwl.broo..
 
acha ujinga mzee
Usipaniki amekuuliza swali la msingi maana demu unayemfeel kuna jamaa huko hamuelewi hata kidogo, na yule usiyemfeel (ambaye kwa mujibu wa komenti yako unaweza kumla jicho) kuna mwanaume mwenzio kafa kaoza na ni future wife wa mtu. Fahamu kuwa wewe unapoharibu mabinti wa watu ambao ' huwafeel' mwanamke unayemfeel pia yupo mikononI mwa wahuni analiwa jicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…