hapa unaongea katika simple manner sana mkuu
lakini naomba nikuambie kitu kuna vitu kama havijakukuta au hujavigundua huwa ni simple sana ila usiombe yakukute
kiongozi siku bintiyo au mabinti zako wakitoa namba na ukalijua hilo na ukaja hapa majestically na kusema kutoa namba ni utashi wao na we huoni shida juu ya hilo ,nitakubaliana na wewe ila as for now we acha tu na utemee mate chini na ikiwezekana yameze hayo maneno yako
waswahili wanasema msiba usikie kwa jirani,ukimsikia mtu ambaye hajawai kufiwa anasema msiba ni kitu cha kawaida sana,mwangalie mara mbili mbili umsubirie siku msiba ukimkuta yeye,ukimkuta na akasema hivyo hivyo tunajua kweli anamaanisha watu wengi tuna tabia ya kuona mambo ni mepesi sana yanapokuwa kwa mwenzako ila yakiwa kwako ni mazito kuyabeba
so we nenda na uendelee with what ever you are doing,ila siku ukijua binti yako au zako wanatoa namba ukija hapa ukaniambia ni utashi wake na hujali basi ntakuvulia kofia mkuu.