GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.