Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.
 
Sasa wewe mwenyewe unapenda alafu unakuja tena hapa kuuliza kwa nini wanachomeka?

Wasingechomeka ungekuja tena hapa kulalamika kuwa wadada wa mikoa hiyo hawajui kuucheza muziki.

Aisee!..
 
Ufirauni tuu huu

Ninachoamini mimi.....

mwanaume anayechomeka flash nyuma ya radio ni aina ya mwanaume anayeweza kufanya yafuatayo bila hofu
1. Kwake sio lazima apate mwanamke, hata mwanaume mwenzie anachomeka tuu
2. Kuna uwezekano mkubwa na yeye kuchomekwa kama anavyochomeka ili apate flava anayoamini ipo huko
3. Ni mwanaume hatari sana haswa linapokuja swala la malezi ya watoto na vijana wetu wadogo

Cc Son of Gamba
 
Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.

Mkikataa nyie wataacha
 
Na ww unapenda ungekuwa hupendi ungekataa...!
 
Mtoa maada simpendagi ktk Wana jf wote Nina beef naye toka zamani anajifanyaga much know ila hamna kitu mavi matupu kwa Kichwa yake Mara ajifanye mjeshi Mara ajifanye mnyarwanda Mara mtangazaji Mara usalama wa taifa...wewe sio genius unajikuta tu maada zako hovyo unasema uongo
 
Kizazi cha nyoka mtu haogopi anasema hadhalani kabisa

Ko unajisifu kufukua tope

Laana iwe juu ya kizazi chako

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.

Na hao wafalme wa nchi, waliozini naye na kufanya anasa pamoja naye, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuungua kwake; wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;

Ufunuo wa Yohana 8: 3-11
 
Back
Top Bottom