Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

Kuna kitu kidogo hapo unachanganya na kingine ulikuwa hauna taarifa nacho au umeamua kupotosha.

Mimi nimezungumzia S550 siyo S500.
Hiyo S550 ni dedicated kama ulivyotoa sifa za dedicated system Kama THAAD.
Msikie hapo chini aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Russia juu ya tofauti ya S500 na S550.

Tena Mimi nilitumia neno 'labda S550' makusudi sema moderator wa JF ameondoa neno labda.

Nukuu chini
Russian Defense Minister Sergei Shoigu was first to inform about the S-550 system at the ministry’s conference call on November 9. He said the S-550 system should be used to target ICBMs and satellites while the S-500 Prometheus would shoot down enemy ballistic missiles and aircraft."
Russia Boasts of New S-550 Missile System Capable of Targeting Satellites.
 
Kilomita tatu kwa second moja. Wewe unaamini hilo kiuhalisia inawezakana?
Naamini 100% kwa sababu silaha imetumika na video zipo, na raisi wa Ukraine amelalamika juu ya hilo shambulio mitandaoni, nenda x (Twitter).
Pia Pentagon wamethibitisha hiyo kitu.
Na askari kadhaa wastaafu wa Marekani wamepiga kelele hatua ya kuruhusu Ukraine atumie ATCAM kuishambulia Russia kisha akajibiwa na Russia.
 
Vita ni maarifa na Putin anayo mengi.
Maarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.
 
Kumbuka THAAD ilishindwa kuzuia makombola ya Iran dhidi ya Israel juzi juzi tu.
 
Alafu ndio ukute Nifah sio mwanamke ni mwaume tena mwenye wake wanne😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁.Sema huyu dada anaonekana mtundu mtundu hivi hata mimi nampenda basi tu
Ha ha haa.
Ikitokea kweli akawa ni mwanaume lkn mwenye Avatar yenye jina na picha ya kike basi ujue "hatakua anavyotakiwa kua".
 
Maarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.
Marekani na washirika wake wa NATO walikaa miaka 20 Afghanistan wakiua wazee,wanawake,watoto na wasiojiweza nadhani huo kulikua ni ukosefu mkubwa wa maarifa.
Ila kwa sababu ni Marekani nadhani walikua Wana haki ya kujilinda.
 
Ohooo! naona Sasa wewe mdogo wangu umeanza kutamani nilipotamani,sawa Yako wewe ntaongea na Bro Putin upelekwe front line huko kiev.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mimi ndio nilianza kabla yako sema nilichelewa tu kusema
 
Kama ina uwezo huo wa kupiga na kuangamiza popote, si wapige London, New York na Toronto? Wtf?

Analilia nini stupid kabisa.
 
Kilomita tatu kwa second. Labda iwe kuna second nyengine mbali na hii tunayotumia kwa majira, Tusidanganywe na sisi tukadanganyika.
 
Kama ina uwezo huo wa kupiga na kuangamiza popote, si wapige London, New York na Toronto? Wtf?

Analilia nini stupid kabisa.
Nani analia?
Umejiuliza kwanini Zelensky kalalamikia hilo shambulizi?
Kwanini Ukraine hajatumia tena makombora ya masafa marefu kuishambulia Russia?
Kumbuka Oreshnik siyo kombora la masafa marefu ni la masafa ya kati haliwezi kufika mahali popote duniani Ila ulaya linafika pote na mashariki mwa USA.
 


Acha wazungu wazinguane maana ni makatili sana .

Waliwauza waafrika kama Mkaa wa kwenda kupikia .

Poombuvour sana wazungu !!
Puttin acha awabane wakose pumzi mabeberu wahuni wa dunia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…