We jamaa huwa nakuonaga fala sana Tena fala uliyepitiliza.Haswa haswa wafia dini
Hivi kwani huwezi kujadili kitu Hadi uingize udini!?
Acha ufala basi we jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa huwa nakuonaga fala sana Tena fala uliyepitiliza.Haswa haswa wafia dini
Alafu ndio ukute Nifah sio mwanamke ni mwaume tena mwenye wake wanne😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁.Sema huyu dada anaonekana mtundu mtundu hivi hata mimi nampenda basi tuNifah ni vile hujui TU jinsi ninavyokupenda.
Kuna kitu kidogo hapo unachanganya na kingine ulikuwa hauna taarifa nacho au umeamua kupotosha.Pia Urusi haina dedicated anti missile system, hiyo S-500 ni air defense missile ina mambo mengi inaunganisha haiwezi kuwa effective kila kitu. Hapo Kerch ilipowekwa ilinde daraja ilishindwa kuzuia ATACMS missiles wakati hazipo hypersonic.
Dedicated system kama THAAD haizuii ndege, drone wala cruise missiles yenyewe ni kazi nzito za ICBM tu.
Ukiitafuta nchi yenye ICBM zenye uwezo wa kawaida (huwa naamini ni Pakistan) ukaiambia ifyatue makombora alafu ukawaita Urusi na Marekani wazuie kwa wanavyotaka wao. Chances za Marekani kushinda ni kubwa wakiweka Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) na Aegis Combat System kuliko Urusi wakiweka S-500 air defense system.
Naamini 100% kwa sababu silaha imetumika na video zipo, na raisi wa Ukraine amelalamika juu ya hilo shambulio mitandaoni, nenda x (Twitter).Kilomita tatu kwa second moja. Wewe unaamini hilo kiuhalisia inawezakana?
Maarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.Vita ni maarifa na Putin anayo mengi.
Kwa hiyo hata Israel naye hana maarifa maana ni miaka na miaka anaua tuMaarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.
Kumbuka THAAD ilishindwa kuzuia makombola ya Iran dhidi ya Israel juzi juzi tu.Ukiitafuta nchi yenye ICBM zenye uwezo wa kawaida (huwa naamini ni Pakistan) ukaiambia ifyatue makombora alafu ukawaita Urusi na Marekani wazuie kwa wanavyotaka wao. Chances za Marekani kushinda ni kubwa wakiweka Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) na Aegis Combat System kuliko Urusi wakiweka S-500 air defense system.
🤣🤣🤣🤣Haina ShidaKama wakipiga Hydrogen bomb au nuclear basi tumeisha
Kama mabomu ya kawaida acha nisubiri tu huenda nikabahatika kuishi ili niibe hata meli moja nije nayo Zanzibar
Ntakutafuta usikae mbali 😄 🤣
Ha ha haa.Alafu ndio ukute Nifah sio mwanamke ni mwaume tena mwenye wake wanne😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁.Sema huyu dada anaonekana mtundu mtundu hivi hata mimi nampenda basi tu
Sema jina lake Nifah lina mvuto halafu inaonyesha ni mtamu balaaaaHa ha haa.
Ikitokea kweli akawa ni mwanaume lkn mwenye Avatar yenye jina na picha ya kike basi ujue "hatakua anavyotakiwa kua".
Marekani na washirika wake wa NATO walikaa miaka 20 Afghanistan wakiua wazee,wanawake,watoto na wasiojiweza nadhani huo kulikua ni ukosefu mkubwa wa maarifa.Maarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.
Ohooo! naona Sasa wewe mdogo wangu umeanza kutamani nilipotamani,sawa Yako wewe ntaongea na Bro Putin upelekwe front line huko kiev.Sema jina lake Nifah lina mvuto halafu inaonyesha ni mtamu balaaaa
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mimi ndio nilianza kabla yako sema nilichelewa tu kusemaOhooo! naona Sasa wewe mdogo wangu umeanza kutamani nilipotamani,sawa Yako wewe ntaongea na Bro Putin upelekwe front line huko kiev.
Kama ina uwezo huo wa kupiga na kuangamiza popote, si wapige London, New York na Toronto? Wtf?Marekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake wa kasi kwa macho).
Inabeba vichwa vingi kwa mara moja ambavyo vikitawanyika huko angani kila kimoja kinaweza kujiongoza kufuata 'target' yake sehemu tofauti na vichwa vingine.
Russia imesema itakuwa inatoa taarifa kabla haijafanya shambulizi, tahadhari kwa raia eneo inalotaka kulishambulia waweze kuondoka lengo likiwa kupunguza maafa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Muelekeo wa vita kati ya Ukraine na Russia umechukua sura mpya baada washirika wa Ukraine kuruhusu silaha za masafa marefu walizo wapa Ukraine zitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Russia inayotambuliwa kimataifa.
Baada ya Ukraine kuzitumia hivi karibuni Russia amejibu mapigo kwa kuifanyia majaribio silaha yake mpya Oreshnik.
Ni teknolojia mpya ya Hypersonic Intermediate range ballistic missile.
Ina uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia (nuclear payload), kwa sasa imetumia vilipuzi vya kawaida(conventional bomb) lengo kutoa onyo tu. Pentagon wakiri silaha hiyo ni tishio lakini wana amini Ukraine itaweza kuhimili maafa yake.
Naomba wale wadau wa mambo ya silaha waje watoe maoni yao. Narudia, wale wadau wanaojua mambo ya silaha siyo shabiki wa vita vya Ukraine au NATO na Russia.
CC: T14 Armata waite wadau wengine tujadili wengine tujifunze.
Kilomita tatu kwa second. Labda iwe kuna second nyengine mbali na hii tunayotumia kwa majira, Tusidanganywe na sisi tukadanganyika.Naamini 100% kwa sababu silaha imetumika na video zipo, na raisi wa Ukraine amelalamika juu ya hilo shambulio mitandaoni, nenda x (Twitter).
Pia Pentagon wamethibitisha hiyo kitu.
Na askari kadhaa wastaafu wa Marekani wamepiga kelele hatua ya kuruhusu Ukraine atumie ATCAM kuishambulia Russia kisha akajibiwa na Russia.
Nani analia?Kama ina uwezo huo wa kupiga na kuangamiza popote, si wapige London, New York na Toronto? Wtf?
Analilia nini stupid kabisa.
Marekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake wa kasi kwa macho).
Inabeba vichwa vingi kwa mara moja ambavyo vikitawanyika huko angani kila kimoja kinaweza kujiongoza kufuata 'target' yake sehemu tofauti na vichwa vingine.
Russia imesema itakuwa inatoa taarifa kabla haijafanya shambulizi, tahadhari kwa raia eneo inalotaka kulishambulia waweze kuondoka lengo likiwa kupunguza maafa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Muelekeo wa vita kati ya Ukraine na Russia umechukua sura mpya baada washirika wa Ukraine kuruhusu silaha za masafa marefu walizo wapa Ukraine zitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Russia inayotambuliwa kimataifa.
Baada ya Ukraine kuzitumia hivi karibuni Russia amejibu mapigo kwa kuifanyia majaribio silaha yake mpya Oreshnik.
Ni teknolojia mpya ya Hypersonic Intermediate range ballistic missile.
Ina uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia (nuclear payload), kwa sasa imetumia vilipuzi vya kawaida(conventional bomb) lengo kutoa onyo tu. Pentagon wakiri silaha hiyo ni tishio lakini wana amini Ukraine itaweza kuhimili maafa yake.
Naomba wale wadau wa mambo ya silaha waje watoe maoni yao. Narudia, wale wadau wanaojua mambo ya silaha siyo shabiki wa vita vya Ukraine au NATO na Russia.
CC: T14 Armata waite wadau wengine tujadili wengine tujifunze.
Na ikimbiwa rocket inaenda at 11km/s utasemajeKilomita tatu kwa second. Labda iwe kuna second nyengine mbali na hii tunayotumia kwa majira, Tusidanganywe na sisi tukadanganyika.