Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

Hizi mbinu hata huku Oysterbay,Masaki, Regent sidhani km zinatumika
 
Sasa mimi na subwoofer ya seapiano na inch 32 ya aborder nipoteze muda kuchemsha mafuta hapana.

Na kama you have more fanya mpango ununue bastola hata ya laki 6
Ziote mkuu ila kama unahitaji ya haraka inafanya kazi mara tu baada ya kuiweka hii ina bidi niichre .
Inazuia moto wizi,wanga ,hata kama yumo humo ataondoka mkuu. Nikipata wasaa nitaitupia humu wafaidike wengi.
 
Kuiba nako ni kazi kikubwa usiharibu kazi
 
Kweli Bongo tunacheza!!!
 
Hahahaha, S500
 
Intercontinental ballistic missile...hii Ina wifi...inaconnect pimbi yeyote hata akiwa mbali..pia ni EmP jammer...Yani inaweza fanya wezi wasione nyumba
 
Upupu unafaa kutumika kwa watu ambao hawatakiwi wajulikane
 
Sasa mimi na subwoofer ya seapiano na inch 32 ya aborder nipoteze muda kuchemsha mafuta hapana.

Na kama you have more fanya mpango ununue bastola hata ya laki 6
Master bastola gani ya laki 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…