Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

U
Upupu tukwiishema ubhangu, gunaanyenya atalii🤣
 
Ukute wenyewe wana Mguu wa kuku
Sijui kama huo upupu utauona zaidi ya kuingia kwenye uvungu wa meza na ukaenea
 
Kwa unafuu wa gharama,maji ya moto pia yafaa,yalohifadhiwa kwenye chupa ya chai..,ukimwagia hata kifuani au mgongoni yatosha sana.
 
Vituko 😅😅
Hiyo gharama ya kuchemsha mafuta ya kula lita3 kila siku usiku kwa mwaka ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…