Nimekubali baada ya kuziona Kampuni za Ulinzi, yanii Gardaworld, SGA, na G4s utamkuta mkurugenzi analipwa million 50 kwa mwezi lakini Admin wanaofuatia wakipata hata million na Nusu Mungu anajua, walinzi sasa hata laki nne kuipata labda Jua lishuke..huko local sasa sijui suma, K4s ndo usiguse sasa huko ukiambulia laki tatu sema Mitano tena.1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
MuongoTarura🤣🤣
Mm kwangu wote nawaona kawaida sio polisi sio jeshi-Huwezi kujilinganisha na TPDF,
Angalia salary scale ya nyota 1 ya tpdf na nyota 1 ya Police, ndio utaona gap lililopo.
- Madeleka aliacha KAZI na cheo Cha inspector ambacho salary scale yake ya kuanzia ni 990,000-1,170,000/- (Bar),
Katika majeshi yote wamewazidiMm kwangu wote nawaona kawaida sio polisi sio jeshi
Wewe ni meneja unatetea dinning table,ila Mimi nadhani hata ikulu Kuna njaa sababu bibi kapotea kajificha kwenye deni la taifa.Sijui Kwanini Visionfund ipo na sijui umetumia vigezo ganii lkn
Ukweli ni kwamba Visionfund ni moja ya Taasisi inayolipa staff wake vizr kwa sasa
As per labour market tofauti na miaka ya Nyuma
Afisa wa chini kabisa anaweza kuwa analipwa anzia 2.2 ambayo ni salary ya mtumishi wa Umma mwenye uzoefu wa mdaa mrefuu sana.
Nishawai kufanya kazi Visionfund na WorldVision kwa miaka ya hivi karibuni.
Katka taasisi inayojali staff wake hasa hizi bank bila kusahau inafanya kazi vijijini sanaa ni Visionfund na Worldvision
Na huwezi kutenganisha World Vision na Visionfund Microfinance Bank hao ni Baba na mtoto.
Na wana training za kutosha kwa staff wake .
Sijui umezungumza hili kwa angle ipi
Kama ni maslahi ya watumishi wake nakupingaa.
Hivyo mwenye kutoa madaaa umepotoshaaaaaa sanaa na uombe toba kwa Mungu.
Tuambie ukweliMuongo
Mh hawa hawa ninao wajua mimi au? Kuna TISS wana pesaKatika majeshi yote wamewazidi
Mshahara wa kuanzia wa ofisa wa eGA,TRA,TIRA, ni kama ACP
Mkuu kumbe sasa hivi mnara unasoma Halmashauri ulihama BOT?!!!Scania nao kumbe wana njaa kali kama sisi wa halmashauri?
Hao TCB nao kumbe nenge kali?
Hao hao TPDF au hao hao ega, tira,tra?Mh hawa hawa ninao wajua mimi au? Kuna TISS wana pesa
SawaaHao hao TPDF au hao hao ega, tira,tra?
Mungu awasaidieYaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
Kenya nimeona mishahara yao mpaka Raisi ,yaani mipya ,ya wanajeshi na kada nyingine ila huku kwetu inafichwa kama bangi.Hao hao TPDF au hao hao ega, tira,tra?
Mahakama hakuna njaa inategemea upo kitengo gani!
Kampuni yoyote ya
1. Mwarabu
2.Mchina
3.mweusi
4.Mhindi
Utaishi kwa tabu mno
Silent ocean anaingiza fedha nyingi mno hiyo ni 1%Mbona silent ocean (GSM)maisha hayako hivyo ?!
Mpaka vijana wamejenga na wanaishi vizuri tu?!
Acha kudanganya uma kwa ajili ya maono na chuki zako binafsi
Hamna hela huko.Mbona silent ocean (GSM)maisha hayako hivyo ?!
Mpaka vijana wamejenga na wanaishi vizuri tu?!
Acha kudanganya uma kwa ajili ya maono na chuki zako binafsi
Hiyo benki uliyoitaja hapo aliteuliwa pale Mkurugenzi mtendaji mkuu kijana mmoja mvaa mawani blazameni kidingi, jina lake la mwanzo ni la nabii wa kwanza kuumbwa na mungu, na surname yake ni ile dalili mtu anatoaga ya kuwika kwa kupanua mdomo na kutoa hewa mdomoni akiwa ana usingizi au njaakampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB
Alafu mmiliki anasifiwa ndo kibopa nambari moja tanganyikaMeTL ikae namba Moja kabisa.hao jamaa ni kiboko