Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Daaaaah hii list naona tu kuna watu umeamua kuwasimanga sio bure!🤔
 
Upuuzi! Waajiriwa wengi mtaendelea kuwa masikini kwa kuhisi ili ufanikiwe lazima uwe na posho nyingi endelea kuwa mpumbavu ufe masikini kama alivyokufa baba yako masikini kule kwenu.
Unaambiwa ukweli unakuwa mkali nilitegemea utakuja na hoja uthibitishe bizo Pesa huko Iselamagazk unazipaataje wewe EN unaishia kutukana, Kwanza Mzee wangu hajafa na hakuwa maskini kabisa na wala mimi sio Maskini na sitaweza kuwa maskini kamwe

Jifunze kuwa unjibu hoja vizuri mkuu!!
 
Umemfanya jamaa kaja kuja kutukana waajiriwa
Usukuman usipokaa makini utalia kazi ni ngumu sana kule kuhamgaika na Malaria na Anemia ni kugusa tu!! Nimefanya kazi miaka mi3 huko ila anatupanga na bahati nzuri niko kada ya Afya hiyohiyo yaan umpige Ngosha 50k sijui 30k ndio uje ututambie kuna hela aache masihara mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…