Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Kama wako vizuri unadhani kwa nini watu wanaacha kazi kila siku?
kUACHA KAZI KUNA VITU VINGI NDANI YAKE MFANO MTU AMEPATA GREEN SEHEMU NYINGINE NA KAMA BANK KAMA MTU AMESHINDWA KUDELIVER MATOKEO LAZIMA AONDOKE NA SIO VFT TUUU ,AND NINACHOJUA VFT YA KUISHI KWA MAZOEA YA ZAMANI SIO YA SASA AND IS THE SAME TO OTHER FINANCE INSTITUTION.
 
Hapo kwenye halmashauri za wilaya nakushauri uondoe kwenye list haraka sana...
 
Ss kwa "mtu mwenye uzoefu wa muda mrefu sanaa" 2.2m ni hela ??
 
Njaa ya nini mleta mada ya kipochi manyoya au pesa??
Fafanua tafadhali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…