Aanza na tume ya uchaguziKuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Huyu ni arrogant sana na amekwamisha miradi mingi sana pale anapoona hapati chochote kama individual haswa ile miradi yenye masharti magumu kutoka kwa wahisaniDoto James
Sawa mkuu[emoji21][emoji21]We si wa stend kachome hata mahindi stendi.
Unahangaika sana we dadaSawa mkuu[emoji21][emoji21]
Mkuu wa mkoa wa Mwanza.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Na ndiyo maana ni miaka zaidi ya sita sasa, watumishi wa umna hawajapandishwa madaraja wala kuongezewa mishahara.Duh! huyu rais anaweza kujikuta anatumia mwaka mzima tena kupanga safu upya, ila hakuna namna takataka zote ziondolewe....zile nafasi za u-DED badala ya kupewa watumishi wa umma waandamizi wakajazwa makada hadi watangazaji wa TV ambao hawajawahi kuwa watumishi wa umma, mfumo wa utumishi wa umma ulivurugwa sana..
Haitawezekana.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Tabia ya kumpangia mhe Rais kazi za kufanya ife mara moja kabla hatujachukua hatua stahiki.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Inaonyesha we hata mjumbe wa nyumba kumi hufai.Ushauri wako atatupia kapuni...
Maana ameshasema tusiwe na chuki...
Pambafu wewe. Hivi kufa magufuli ndio mnadhani mumeshinda na kukamata dola? Serikali ni ileile ya ccm na malengo ni yaleyale ya kupigania haki na maslahi ya umma. Fisadi mtaendelea kulia tu.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Usinge onyesha chembe chembe za kibaguzi ingenoga zaidi mkuuUmekasahau na kale kamasai kasiko na akili kichwani! Ole Sabaya!
Wewe hata darasa la tatu B amekuzidi uwezo kufikiri. Mistari hiyo michache imekushinda kuelewa hoja iliyopo, mwalimu wako alipata shida. Kilaza kwelikweli.Pambafu wewe. Hivi kufa magufuli ndio mnadhani mumeshinda na kukamata dola? Serikali ni ileile ya ccm na malengo ni yaleyale ya kupigania haki na maslahi ya umma. Fisadi mtaendelea kulia tu.
Kale kamasai kana Umasai mwingi sana kichwani. Kapuuzi kweli.Tena kakamatwe kaseme yale mabunduki kaliyatoa wapi na nani alikaagiza, na hilo genge lake ni wakina nani.Usinge onyesha chembe chembe za kibaguzi ingenoga zaidi mkuu
Watu kama charami wakiwa nyuma ya pazia haifai. Emergine hadharani anafoka vile ...jamba na watu wanaodhani wao ni bora, wakifikiri ndio Wana waisrael. The chosen.Rc wa mbeya yule chalamila inaonyesha sio mzima kichwani