Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.

1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.

2. Kazi unayofanya.
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi gani hata iweje wewe kikubwa una hudumia familia masuala ya kazi yako ni wewe na kazi yako mkeo haimuhusu, yeye ahudumie familia ndipo mpaka wake ulipoishia masuala ya kazi yako yeye haimuhusu na hapaswi kujua unafanya kazi gani. Nimekusanua.

3. Unapofanyia kazi. Mfano: Unafanya kazi Wapi?
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi wapi, unaingia saa ngapi, unatoka saa ngapi, boss wako ni nani, boss wako jina lake nani, mawasiliano ya ofisi yenu ni yapi, unafanya kazi na nani, mkeo hapaswi kujua yeye abakie na masuala ya familia masuala ya ofisini hayamuhusu maana wewe ndio unaefanya kazi hapo ofisini sio mkeo masuala yako na ya mkeo usiyapeleke ofisini utaharibu kazi. Nimekusanua.

4. Mtoto Wako au Watoto wako wa Nje ya Ndoa.
Haijalishi unao wangapi ila Mkeo hapaswi kujua uliwahi kuzaa na nani, una watoto wangapi kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa, umezaa na nani, huyo nani yupo wapi, huyo nani mnawasiliana vipi. Mkeo hapaswi kujua.

5. Idadi ya Assets ulizonazo.
Umejenga Assets ngapi, nyumba, maduka, na Assets zingine mashamba and so on, kuwe na mipaka ya Assets anazozijua baadhi Mkeo hapaswi kujua fanya mwenyewe sio kila kitu unamwambia Mkeo, Mkeo hapaswi kujua. Nimekusanua.

6. Wanawake Uliowahi kua Nao kimapenzi.
Acha kabisa Mkeo hapaswi kujua sijui ulikua una-date na Anna, Diana, Asha sijui Amina, Ashura, Fatuma, Mwajuma, Jesca, Prisca, Joyce, etc hatakiwi kujua km uliwahi hata kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote kabla haujamuoa, Mkeo hapaswi kujua hio ibakie kua Siri yako wewe na Mungu wako usimwambie Mkeo, itakula kwako. Nimekusanua.

7. Nakuja kuelendea....

Kama una kingine ongeza hapo chini, sijui umetoka na limalaya gani huko Mkeo kajua jana ulilala na Malaya sehemu fulani na akaja akakuona ukiwa unamtoa sehemu huyo Malaya huku wewe hujamuona, imekula kwako. Nimekusanua. Mkeo hapaswi kujua.
 
Na yeye akikuficha kuhusu vitu vyake, Mnakuja kulalama huku JF.

Mara mke wangu mbinafsi. Unasahau hata wewe ni mbinafsi vilevile kwa kuficha ficha vitu.

Kama hutaki mkeo ajue vitu vyako, Unaoa kwa nini?

Wewe tafuta mwanamke mzae watoto tu, muwalee, kila mtu abaki na chake.
 
List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.

1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.

2. Kazi unayofanya.
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi gani hata iweje wewe kikubwa una hudumia familia masuala ya kazi yako ni wewe na kazi yako mkeo haimuhusu, yeye ahudumie familia ndipo mpaka wake ulipoishia masuala ya kazi yako yeye haimuhusu na hapaswi kujua unafanya kazi gani. Nimekusanua.

3. Unapofanyia kazi. Mfano: Unafanya kazi Wapi?
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi wapi, unaingia saa ngapi, unatoka saa ngapi, boss wako ni nani, boss wako jina lake nani, mawasiliano ya ofisi yenu ni yapi, unafanya kazi na nani, mkeo hapaswi kujua yeye abakie na masuala ya familia masuala ya ofisini hayamuhusu maana wewe ndio unaefanya kazi hapo ofisini sio mkeo masuala yako na ya mkeo usiyapeleke ofisini utaharibu kazi. Nimekusanua.

4. Mtoto Wako au Watoto wako wa Nje ya Ndoa.
Haijalishi unao wangapi ila Mkeo hapaswi kujua uliwahi kuzaa na nani, una watoto wangapi kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa, umezaa na nani, huyo nani yupo wapi, huyo nani mnawasiliana vipi. Mkeo hapaswi kujua.

5. Idadi ya Assets ulizonazo.
Umejenga Assets ngapi, nyumba, maduka, na Assets zingine mashamba and so on, kuwe na mipaka ya Assets anazozijua baadhi Mkeo hapaswi kujua fanya mwenyewe sio kila kitu unamwambia Mkeo, Mkeo hapaswi kujua. Nimekusanua.

6. Wanawake Uliowahi kua Nao kimapenzi.
Acha kabisa Mkeo hapaswi kujua sijui ulikua una-date na Anna, Diana, Asha sijui Amina, Ashura, Fatuma, Mwajuma, Jesca, Prisca, Joyce, etc hatakiwi kujua km uliwahi hata kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote kabla haujamuoa, Mkeo hapaswi kujua hio ibakie kua Siri yako wewe na Mungu wako usimwambie Mkeo, itakula kwako. Nimekusanua.

7. Nakuja kuelendea....

Kama una kingine ongeza hapo chini, sijui umetoka na limalaya gani huko Mkeo kajua jana ulilala na Malaya sehemu fulani na akaja akakuona ukiwa unamtoa sehemu huyo Malaya huku wewe hujamuona, imekula kwako. Nimekusanua. Mkeo hapaswi kujua.
Ujinga mtupu. Kuna watu waliwaficha wake zao assets wanazomiliki, na mauti yakawakuta. Matokeo yake watu baki hasa madalali ndiyo walibaki wamiliki wa mashamba na viwanja.

Ni mada ya kipimbi. Mwanaume wa kweli hamfichi mkewe mali na fedha alizonazo, bali anakomaa katika ni fedha kiasi gani ampe mkewe.
 
Ujinga mtupu. Kuna watu waliwaficha wake zao assets wanazomiliki, na mauti yakawakuta. Matokeo yake watu baki hasa madalali ndiyo walibaki wamiliki wa mashamba na viwanja.

Ni mada ya kipimbi. Mwanaume wa kweli hamfichi mkewe mali ma fedha alizonazo, bali anakomaa katika ni fedha kiasi gani ampe mkewe.
Endelea kukaza fuvu ndio maana nimeishia namba 7 maana yake sijamaliza sasa subiri nimalize kwanza ndio uje kunipinga vizuri
 
List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.

1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.

2. Kazi unayofanya.
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi gani hata iweje wewe kikubwa una hudumia familia masuala ya kazi yako ni wewe na kazi yako mkeo haimuhusu, yeye ahudumie familia ndipo mpaka wake ulipoishia masuala ya kazi yako yeye haimuhusu na hapaswi kujua unafanya kazi gani. Nimekusanua.

3. Unapofanyia kazi. Mfano: Unafanya kazi Wapi?
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi wapi, unaingia saa ngapi, unatoka saa ngapi, boss wako ni nani, boss wako jina lake nani, mawasiliano ya ofisi yenu ni yapi, unafanya kazi na nani, mkeo hapaswi kujua yeye abakie na masuala ya familia masuala ya ofisini hayamuhusu maana wewe ndio unaefanya kazi hapo ofisini sio mkeo masuala yako na ya mkeo usiyapeleke ofisini utaharibu kazi. Nimekusanua.

4. Mtoto Wako au Watoto wako wa Nje ya Ndoa.
Haijalishi unao wangapi ila Mkeo hapaswi kujua uliwahi kuzaa na nani, una watoto wangapi kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa, umezaa na nani, huyo nani yupo wapi, huyo nani mnawasiliana vipi. Mkeo hapaswi kujua.

5. Idadi ya Assets ulizonazo.
Umejenga Assets ngapi, nyumba, maduka, na Assets zingine mashamba and so on, kuwe na mipaka ya Assets anazozijua baadhi Mkeo hapaswi kujua fanya mwenyewe sio kila kitu unamwambia Mkeo, Mkeo hapaswi kujua. Nimekusanua.

6. Wanawake Uliowahi kua Nao kimapenzi.
Acha kabisa Mkeo hapaswi kujua sijui ulikua una-date na Anna, Diana, Asha sijui Amina, Ashura, Fatuma, Mwajuma, Jesca, Prisca, Joyce, etc hatakiwi kujua km uliwahi hata kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote kabla haujamuoa, Mkeo hapaswi kujua hio ibakie kua Siri yako wewe na Mungu wako usimwambie Mkeo, itakula kwako. Nimekusanua.

7. Nakuja kuelendea....

Kama una kingine ongeza hapo chini, sijui umetoka na limalaya gani huko Mkeo kajua jana ulilala na Malaya sehemu fulani na akaja akakuona ukiwa unamtoa sehemu huyo Malaya huku wewe hujamuona, imekula kwako. Nimekusanua. Mkeo hapaswi kujua.
Twende taratibu
Nimekua mkeo ghafla nakuangalia usoni Swali la kwanza nakuuliza respectfully request dat u specify the exact amount of remuneration yo receiv. Unanijibuje
 
Mke asiyefahamu mume wake anafanya kazi wapi atakuwa mke mshamba na wa kuokota jalalani.
Naam naam na huyo ndio mke sahihi, kazi ya mumeo wewe ya nini na inakuhusu nini anaefanya kazi ni wewe au ni mumeo? Unampangia mumeo muda wa kurudi kazini wewe ni boss wake? Does that make sense to you una act as a second boss ana boss kazini na wewe unakua boss wa pili for what?
 
Twende taratibu
Nimekua mkeo ghafla nakuangalia usoni Swali la kwanza nakuuliza respectfully request dat u specify the exact amount of remuneration yo receiv. Unanijibuje
Nataja ¼ ya mshahara ninaoupokea utaukataa wewe ni boss wangu au ni kampuni iliyoniajiri hadi nikutajie kiasi sahihi cha mshahara? Wewe ni mke sio meneja muajiri wa kampuni, uwe na mipaka
 
Kuna vitu umeandika ni kweli, ila kuna vingne hapana ni makosa makubwa sana! Mfano, mkeo kumficha asset zako au kumficha watoto/mtoto uliyenae nje ya ndoa, hii ni hatar pale unapata na mauti!

Sema mwanaume unatakiwa uish mkeo asikusome akakumaliza, uwe na maisha hautabiriki, ndege si ndege na mnyama si mnyama husomeki! Mind you, mkeo akikusoma akakumalza UMEKISHA!
 
Hili pimbi linafundisha watu ujinga..asilimia 90 ni ushuzi Tena wa maharagwe ya njano....hio inakuaje familia au kikundi Cha mungiki??
Kuna mtu kashukiwa na kitu kizito huko ndio maana nawapa angalizo mtakao niona mimi ni km fala fulani hivi ila kwa alienielewa amenielewa, usithubutu kumwambia mkeo kwamba una basha wako hua anakutatua Malinda na Ndoa imeishia hapo
 
Back
Top Bottom