Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Huo upuuzi ukifa vitu vingine ndo maana vinapotea
Ndio maana kuna Wanasheria, muwe mnajifunza vitu vingi ndugu zangu msiwe mnajua tu vitu vichache jifunze vitu vingi ikiwa umefariki na una mali zako umeziandikisha kisheria unapofika wakati wa mgao mwanasheria wako ataeleza mtiririko wako ulivyotaka mgao huo uwe uwe vipi ndio hapo watoto wanashtuka eeh kumbe Baba alikua na Ghorofa Shekilango surprised like that, hope umenipata kidogo tumerudi shule kidogo
 
Ndoa waga ni nzuri tuu, mpaka mfikie kutarikiana! 😁
Hivi hivi unaweza usione hoja ya mtoa mada, mpaka mfikie kuachana na mwanamke mlieoana ndio utaona hoja ya mtoa mada. 😁

Mtoa mada, hoja yako haiwezi chukuliwa kwa uzito na watu ambao wapo kwenye ndoa zenye utulivu. Ukitaka kuona mwanamke ni wa kuishi nae kwa kujihami, ni pale utakapoletewa summons/samansi ya mahakamani ukaorodheshe vitu vya "ndoa" ili vipigwe pasu kupitia taraka. 😁

Mtoa mada, wewe usibishane, hii hoja yako ni ngumu sana kueleweka kwa mtu ambaye hajawahi kutana na "umafia" "wizi wa chupi" au "divorce theft" . 😁

Nje ya mada: Sio kila mwanamke anatakiwa kupewa treatment ya namna hii. Soma mindset ya mkeo halafu tafuta namna ya kuishi nae.
 
Nimekubari mkuu, upo sahihi kabisa ulichosema umeongezea pale niliacha gap but imekaa vizuri
 
Atajua baadae ila inafahamika ulikua kazini, huwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa nahisi kuna wanaonielewa ila ukiwa na akili zako za kitoto huwezi kunielewa hata kidogo

Ila kuna case ipo huku muda huu na chanzo cha hio case ni hivyo nilivyovielezea, kila kitu anamwambia mkewe yupo bar gani anamwambia mkewe kalala Lodge gani sijui anamwambia mkewe akilala na mwanamke mwingine anamwambia mkewe, akilala hotel gani anamwambia mkewe, sasa fukuto limechemka limekua zito nyumbani hapakaliki, hapalaliki jamaa analazwa kwenye gari lake nje huko nje ya geti kabisa, mwanamke kageuka mbogo, ndio anaambiwa uliyokua unayafanya usingekua unamwambia mkeo unaona sasa yaliyokukuta mwanetu? Wewe kila kitu Wife unajua, kila kitu Wife imekua hivi kila kitu Wife hivi na hivi oya sisi tuna makoromeo wewe acha ungese
Mbona hii kesi haina uhusiano na uliyoyataja juu kwa akili zako timamu unaoa halafu unamtambishia Mkeo michepuko na mademu halafu unataka kisinuke? Achekelee tu kwa Habari kama hizo na unahitimisha kwamba ufiche taarifa muhimu kwenye Familia kwa kesi kama hii?
 
Yes, but elewa huo nimetolea mfano tu sio uhalisia ulivyo elewa mkuu
 
Km hujaelewa omba ueleweshwe, una maswali unajiuliza na unauliza omba ujibiwe swali utajibiwa ila usianze na kusema sasa wewe masikini... halafu unaanza kujiuliza maswali yaan hapo masikini uliem-mention ni wewe na ukajielezea uhalisia wako na akili yako ilipoishia.. mkeo hapaswi kujua hilo pia
Mimi na wife ni wakulima, nikiwasha pick up langu kwenda shamba wife yupo pembeni, watoto seat ya nyuma. Tunasimamia shamba pamoja kwa hatua zote mwanzo mwisho na nikiwa sipo anasimamia yeye sabab tayar ana uzoefu. Nimeenda nje kimasomo nimerudi hakuna kilichoharibika, nawarithisha na wanangu taratibu ili siku nikiwa sipo wamsaidie mama Yao ku-run project na naona wanakuja vzuri.
Wewe utatuambia nini humu mzee!
 
Nakuambia endelea kuishi ujionee usichokitarajia kukiona
 
Back
Top Bottom