AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ujinga mtupu. Kuna watu waliwaficha wake zao assets wanazomiliki, na mauti yakawakuta. Matokeo yake watu baki hasa madalali ndiyo walibaki wamiliki wa mashamba na viwanja.List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.
1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.
2. Kazi unayofanya.
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi gani hata iweje wewe kikubwa una hudumia familia masuala ya kazi yako ni wewe na kazi yako mkeo haimuhusu, yeye ahudumie familia ndipo mpaka wake ulipoishia masuala ya kazi yako yeye haimuhusu na hapaswi kujua unafanya kazi gani. Nimekusanua.
3. Unapofanyia kazi. Mfano: Unafanya kazi Wapi?
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi wapi, unaingia saa ngapi, unatoka saa ngapi, boss wako ni nani, boss wako jina lake nani, mawasiliano ya ofisi yenu ni yapi, unafanya kazi na nani, mkeo hapaswi kujua yeye abakie na masuala ya familia masuala ya ofisini hayamuhusu maana wewe ndio unaefanya kazi hapo ofisini sio mkeo masuala yako na ya mkeo usiyapeleke ofisini utaharibu kazi. Nimekusanua.
4. Mtoto Wako au Watoto wako wa Nje ya Ndoa.
Haijalishi unao wangapi ila Mkeo hapaswi kujua uliwahi kuzaa na nani, una watoto wangapi kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa, umezaa na nani, huyo nani yupo wapi, huyo nani mnawasiliana vipi. Mkeo hapaswi kujua.
5. Idadi ya Assets ulizonazo.
Umejenga Assets ngapi, nyumba, maduka, na Assets zingine mashamba and so on, kuwe na mipaka ya Assets anazozijua baadhi Mkeo hapaswi kujua fanya mwenyewe sio kila kitu unamwambia Mkeo, Mkeo hapaswi kujua. Nimekusanua.
6. Wanawake Uliowahi kua Nao kimapenzi.
Acha kabisa Mkeo hapaswi kujua sijui ulikua una-date na Anna, Diana, Asha sijui Amina, Ashura, Fatuma, Mwajuma, Jesca, Prisca, Joyce, etc hatakiwi kujua km uliwahi hata kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote kabla haujamuoa, Mkeo hapaswi kujua hio ibakie kua Siri yako wewe na Mungu wako usimwambie Mkeo, itakula kwako. Nimekusanua.
7. Nakuja kuelendea....
Kama una kingine ongeza hapo chini, sijui umetoka na limalaya gani huko Mkeo kajua jana ulilala na Malaya sehemu fulani na akaja akakuona ukiwa unamtoa sehemu huyo Malaya huku wewe hujamuona, imekula kwako. Nimekusanua. Mkeo hapaswi kujua.
Endelea kukaza fuvu ndio maana nimeishia namba 7 maana yake sijamaliza sasa subiri nimalize kwanza ndio uje kunipinga vizuriUjinga mtupu. Kuna watu waliwaficha wake zao assets wanazomiliki, na mauti yakawakuta. Matokeo yake watu baki hasa madalali ndiyo walibaki wamiliki wa mashamba na viwanja.
Ni mada ya kipimbi. Mwanaume wa kweli hamfichi mkewe mali ma fedha alizonazo, bali anakomaa katika ni fedha kiasi gani ampe mkewe.
Kuna sababu ila ukitulia ukaelewa utakua umenielewa vizuri, sijasema ndoa sio muunganiko ila nimesema kuna baadhi ya vitu mkeo hata km unampenda kiasi gani hapaswi kujuaNdoa si ni munaungana kuwa mwili mmoja,sa mbona muishi kwa kuhofiana hivyo kama majambazi
Come again,Too late to figure it out bro, we been knew😏
Twende taratibuList ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.
1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.
2. Kazi unayofanya.
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi gani hata iweje wewe kikubwa una hudumia familia masuala ya kazi yako ni wewe na kazi yako mkeo haimuhusu, yeye ahudumie familia ndipo mpaka wake ulipoishia masuala ya kazi yako yeye haimuhusu na hapaswi kujua unafanya kazi gani. Nimekusanua.
3. Unapofanyia kazi. Mfano: Unafanya kazi Wapi?
Mkeo hapaswi kujua unafanya kazi wapi, unaingia saa ngapi, unatoka saa ngapi, boss wako ni nani, boss wako jina lake nani, mawasiliano ya ofisi yenu ni yapi, unafanya kazi na nani, mkeo hapaswi kujua yeye abakie na masuala ya familia masuala ya ofisini hayamuhusu maana wewe ndio unaefanya kazi hapo ofisini sio mkeo masuala yako na ya mkeo usiyapeleke ofisini utaharibu kazi. Nimekusanua.
4. Mtoto Wako au Watoto wako wa Nje ya Ndoa.
Haijalishi unao wangapi ila Mkeo hapaswi kujua uliwahi kuzaa na nani, una watoto wangapi kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa, umezaa na nani, huyo nani yupo wapi, huyo nani mnawasiliana vipi. Mkeo hapaswi kujua.
5. Idadi ya Assets ulizonazo.
Umejenga Assets ngapi, nyumba, maduka, na Assets zingine mashamba and so on, kuwe na mipaka ya Assets anazozijua baadhi Mkeo hapaswi kujua fanya mwenyewe sio kila kitu unamwambia Mkeo, Mkeo hapaswi kujua. Nimekusanua.
6. Wanawake Uliowahi kua Nao kimapenzi.
Acha kabisa Mkeo hapaswi kujua sijui ulikua una-date na Anna, Diana, Asha sijui Amina, Ashura, Fatuma, Mwajuma, Jesca, Prisca, Joyce, etc hatakiwi kujua km uliwahi hata kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote kabla haujamuoa, Mkeo hapaswi kujua hio ibakie kua Siri yako wewe na Mungu wako usimwambie Mkeo, itakula kwako. Nimekusanua.
7. Nakuja kuelendea....
Kama una kingine ongeza hapo chini, sijui umetoka na limalaya gani huko Mkeo kajua jana ulilala na Malaya sehemu fulani na akaja akakuona ukiwa unamtoa sehemu huyo Malaya huku wewe hujamuona, imekula kwako. Nimekusanua. Mkeo hapaswi kujua.
Naam naam na huyo ndio mke sahihi, kazi ya mumeo wewe ya nini na inakuhusu nini anaefanya kazi ni wewe au ni mumeo? Unampangia mumeo muda wa kurudi kazini wewe ni boss wake? Does that make sense to you una act as a second boss ana boss kazini na wewe unakua boss wa pili for what?Mke asiyefahamu mume wake anafanya kazi wapi atakuwa mke mshamba na wa kuokota jalalani.
Nataja ¼ ya mshahara ninaoupokea utaukataa wewe ni boss wangu au ni kampuni iliyoniajiri hadi nikutajie kiasi sahihi cha mshahara? Wewe ni mke sio meneja muajiri wa kampuni, uwe na mipakaTwende taratibu
Nimekua mkeo ghafla nakuangalia usoni Swali la kwanza nakuuliza respectfully request dat u specify the exact amount of remuneration yo receiv. Unanijibuje
That’s been obvious.. you’re late with this one😎Hi Come again,
Kuna mtu kashukiwa na kitu kizito huko ndio maana nawapa angalizo mtakao niona mimi ni km fala fulani hivi ila kwa alienielewa amenielewa, usithubutu kumwambia mkeo kwamba una basha wako hua anakutatua Malinda na Ndoa imeishia hapoHili pimbi linafundisha watu ujinga..asilimia 90 ni ushuzi Tena wa maharagwe ya njano....hio inakuaje familia au kikundi Cha mungiki??