Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Mnyika Yule wa awamu ya kwanza,hii awamu iliyopita sijui alipatwa na nini
 
Mnyika Yule wa awamu ya kwanza,hii awamu iliyopita sijui alipatwa na nini
*Alikua mgonjwa wa figo

*Then alikua ameumia kunyimwa ukatibu mkuu

*kuondoka kwa mentor wake Dr Slaa pia kulimfadhaisha kidogo.

Ila licha ya yote naona bado ana mchango bungeni hasa kwenye kuchambua miswada
 
Huyu dada anaandaliwa kama kina Upendo Peneza na Catherine Ruge. Kumpa jimbo kabla hajaonekana kitaifa siyo sawa! Tulizana.
Mkuu anaandaliwa vipi? Maana umetaja hapo chakula ya wakubwa
 
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake
Je kama ni implant kutoka ccm?? Tumieni akili nyie vijana. Usione mtu anajipambanisha kumbe yuko kazini
 
devota ilitakiwa akagombee sehem nyingine ila kwa hapa mjin kwa kwel hawez kupambana na aliyekuwa boss wake kipindi anafanya kwaz Abood media, mana Abood alikuwa boss wake
 
Kibamba mnatuletea nani? Kama vipi mnyika badilisha gia angani
 
Msalala kwa alieyekuwa mbuge Ezekiel Maige mmepaacha wazi?
 
Orodha kutoka 82 hadi 112 Mimi siioni. Au macho yangu tu. Nisaidieni wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…