Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Mwaka huu hakutakuwepo na mpasuko mkubwa ndani ya CCM utokanao na majeraha ya kura za maoni kwa maana mtu akikatwa na ngazi za juu hata kama alikuwa anaongoza kura za wajumbe hana pa kuhamia kwenda kugombea nafasi hiyo.

Ni hakuna kutangatanga una-chill au unahamia huko kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Jamaa unazingua kwamba tumeshindwa kuweka wagombea, kwanza hauoni majimbo ambayo bado ni majimbo ambayo hatuwezi kukosa wagombea, mfano tu ni jimbo la nyalandu bado, jimbo la lissu, jimbo la Mnyika, kigamboni, mbagala, kinondoni, kilombelo hayo ni baadhi tu ya majimbo ambayo bado, bado majimbo 51 kwa tz bara ambayo yatatangazwa awamu ya pili, safari hii hatuachi kitu, si kata wala jimbo
Hapo sawa sababu kuna majimbo hayapo na mkutano ulisema kila jimbo au ndio hayo ya kuwaachia act ila kibamba si yuko mnyika

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Naona njia ya msalaba Kama wotee duu ukisema utaanbiwa unaleta udini. Ila Zitto Kabwe alikuja na deligation yake hapa Ina waislam zikaanza foko nyoko.

Sheikh Mohammad Said akieleza makala zake zenye majina ya Kiislam KWAMBA waliongoza katika kupigania Uhuru anaitwa mdini.
 
Sion Jimbo la Kinondoni, kigamboni, İlala na Kibamba tujuze wanaojua
 
Kuna majimbo hayana wagombea...

Kwa kaskazini sijaona Arumeru Magharibi na Ngorongoro.

Wapiga kura wapo wengi saana huko.
 
Ni vema mngezingatia maamuzi ya wajumbe.Mrema alishindwa kura za maoni ni vizuri mkampatia alieshinda kupeperusha bendera.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom