Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba


mdukuzi kama mdukuzi
 
Atakae pinga apinge lakini kaa ukijua hakuna baba mwenye gari huwa tuna baba mwenye nyumba.Nyumba ina heshima yake hasa pale ushakuwa na familia

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ukiitwa baba mwenye nyumba baba mwenye gari unanufaikaje kiuchumi. Hizo ni mentality za kirimbukeni. Yaan nijenge iliniitwe baba mwenye nyumba
 
Kujenga ni wazo zuri sana ila niwaambie kitu aliyeandika mada hii anaongelea kwa context ya Tanzania.Sisi tuna bahati kuwa tuna maeneo ya kutosha kabisa.
Nenda mataifa mengine mtu anaweza kuwa tajiri sana na bado akawa hana nyumba yake aliyojenga ya kuishi kwa nchi za wenzetu walioendelea mfano miji kama Newyork,Mexico,London huwezi kusema ujenge nyumba ardhi yote imeshikiliwa kinachofanyika unapanga nyumba kwa lease sisi hatujafika huko.
Elon Musk tajiri namba moja duniani mmiliki wa Space X vyombo vinavyokwenda anga za mbali hadi leo hana hata kibanda si ajabu amegundua duniani sio mahali pa kuishi labda kwa akili zake nyingi ndio maana anataka kwenda kumiliki himaya ya Sayari ya Mars.
Simpingi mtoa mada wala kumuunga mkono kwa asilimia zote ila kujenga au kutokujenga ni utashi wa mtu either kuwa na akili nyingi mno kiasi kwamba unaona kujenga hakuna maana so long ana pa kuishi au kwa upande mwingine ni kujisahau kabisa shauri ya kula bata.Wengine wana mila za kishirikina huenda wameambiwa usijenge nyumba uishi maisha ya hivyo mali zako zisipukutike.
Wengine makabila wanayotoka hawana muamko wa kujenga wanahofia uchawi unaweza kuta Dar ana nyumba lakini anaogopa kujenga kwao asije logwa hasa akiweka tu bati si taji makabila hayo ili tusetiriane
 
Wengine makabila wanayotoka hawana muamko wa kujenga wanahofia uchawi unaweza kuta Dar ana nyumba lakini anaogopa kujenga kwao asije logwa hasa akiweka tu bati si taji makabila hayo ili tusetiriane
Wewe ni mbabaishaji. Watu wanaongelea kujenga sio wapi kajenga. Au humu tunazungumzia kujenga kwao?
 
watu wote ulio wataja ujataja kwao ila 2 tu huyu wa ngara na sinza hawa wengine hawakuwa na kwao?
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚
 
You are a bully. People who talk about building are not where they are. Or are we talking about building them?
wewe tuonyeshe yako.Unajenga slum Tandale unasema umejenga? kama ni hivyo hata nyigu ana nyumba amejenga japo analala juu ya paa la nyumba yake.Mawazo ya kimasikini kabisa tembea uone mengi.
 
Wewe mbona unamajungu sana, unapata wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu wote hawa tena sio ndugu wala rafiki zako?
Stupid!
 
Watanzania bwana ubongo watu huwa unawaza sana kujenga ndo akili huwa haufikilii kuongeza Kipato ndo ujenge utakuta mtu anakwambia mimi nikipata milion kumi najenga vyumba vyangu viwili utafikili akijenga ndo tayali amemaliza tayali yani Anapesa ya muendelezo wa kiuchumi pesa kama iyo ukipata unatakiwa uiwekeze ili faida itayopatikana ndo uaenze kujenga kidogo kidogo na pia mtaji ukiendelea kwaiyo hii jambo kujenga kujenga tubadilike jamani asanteni but mtazamo wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…