Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Mtazamo wako upo na shida pahala.

Just think kama unaweza kukusanya tumilioni kadhaa ukiwa umepanga uhoni kama utaweza kujenga mapema basi utakuwa unasave zaidi hela na kuweza kupata mtaji mkubwa ili kuanza kuwekeza!?
 
Ungefanya evaluation ya mazuri na mapungufu yao pia,hata mwalimu nyerere mpaka anang'atuka alikua hana nyumba butiama, mpaka jeshi lilipoamua kumjengea,na ile ya msasani alikua bado anadaiwa na NBC,deni, Lakini mpaka mtoto wangu anamjua mwl Nyerere japo hakuwahi kumuona, because of his legacy [emoji1241]
Lakini mzee Mengi kaacha kasri ameacha migogoro tu huku nyuma.
Under the sun everything is vanity [emoji137][emoji137]
 

Mkuu hiyo ilitokana na lifestyle lake ya kumiliki mavitu(mandinga makubwa) na kampuni watu wakajua lazima atakuwa na mjengo.
 
Mmemsahau Jasiri Muongoza Njia Ruge, mshikaji alikufa akiwa amepanga kwenye apartment ya chumba kimoja na sebule. Msiba ulifanyika kwa baba yake Prof. Mutahaba

Alikuwa anasaidia mademu kujenga yeye hakuwa hata na kiosk

Doooh noma sana labda aliwajengea kina Juju mjengo yeye akaamua akae tu kwenye apartment baada ya kujua status yake ya Juliana.
 
Serikali kila siku inakuambia ardhi ni yake we kiherehere cha kuijengea unakitoa wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumeazimwa na kuna sharti kwenye HATI kwamba rais anaweza kubadili matumizi ya Ardhi yako bila taarifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na mwisho wa umiliki ni miaka 99, inamaana wajukuu wetu watakuja kununua kiwanja changu [emoji137][emoji1787]
 
Nyerere kuna nyumba yake iko magomeni imegeuzwa makumbusho nyimba kali sana alijenga kabla ya uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…