Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Uliwahi kuudhuria msiba wa marehemu aliyeacha mke na watoto kadhaa nyumba ya kupanga ukaona mke anavyogalagala kwa uchungu
Mkuu umeandika kama utani ila nimekumbuka siku moja tulienda kwenye msiba wa muumini mwenzetu mmoja...wakati tunarudi akina mama nilioongozana nao wakawa wanasema ila mwenzetu ana raha, amejengewa nyumba ya kuishi na zingine anapangisha hata uchungu hauwi mkubwa sana... nilishangaa kwa kweli

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa sahihi,waliongea ukweli,
 
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961] the reason is there are

Alot of stupid adults in tz
Kwa hyo kutojenga ndo stupidity??
Hv unajua ni kwa nini TRA huwa wanapanga ofisi na sio kujenga wakati wanajua wao wapo leo kesho na kesho kutwa???
 
Ndo ukweliii wanawake msibani wanalia na vingii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa yake ni kuweka njenge. Hasira hazileti njenge
 
Kuna dada kanunua kiwanja kaanza ujenzi anasema anataka mama yke akae kwenye hio nyumba.. lakin yeye na mumewe wamepanga nyumba nzima...
pengine mumewe yupo humu anaandika dunian tunapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…