Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatupangia? Pesa za kwako?Wao ni bata tu, wanazingua na wapo wengi.
Hata kama ni mwanamke, ukipata chance jenga.Nyumba/kujenga ni muhimu sana,
Ni sawa tu kama pesa unapata unazingua ni wewe tu.Unatupangia? Pesa za kwako?
Mkuu umeandika kama utani ila nimekumbuka siku moja tulienda kwenye msiba wa muumini mwenzetu mmoja...wakati tunarudi akina mama nilioongozana nao wakawa wanasema ila mwenzetu ana raha, amejengewa nyumba ya kuishi na zingine anapangisha hata uchungu hauwi mkubwa sana... nilishangaa kwa kweliUliwahi kuudhuria msiba wa marehemu aliyeacha mke na watoto kadhaa nyumba ya kupanga ukaona mke anavyogalagala kwa uchungu
Mkuu kujenga kunataka maamuzi magumu Sana,Ila kujenga kuna faida zaidi ya kutojenga, nashindwa kuelewa kwa nn wanachagua kutojenga.
Kuna msemo waswahili wanasema "bora ulale njaa kwako"
Watu mna data za watu. Nikajua ni yakeAnayoishi Sasa Kapanga. Ndo ameanza ujenzi Yombo
Kwa sie ambao hatuna mpango wa kuwa na watoto,, tujenge ili tumwachie nani?Tunakumbushana tu,tule bata ila tukumbuke kuwaachia watoto sehemu ya kujisitiri siku hatupo duniani
Walikuwa sahihi,waliongea ukweli,Mkuu umeandika kama utani ila nimekumbuka siku moja tulienda kwenye msiba wa muumini mwenzetu mmoja...wakati tunarudi akina mama nilioongozana nao wakawa wanasema ila mwenzetu ana raha, amejengewa nyumba ya kuishi na zingine anapangisha hata uchungu hauwi mkubwa sana... nilishangaa kwa kweli
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo kutojenga ndo stupidity??[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961] the reason is there are
Alot of stupid adults in tz
Yaani uache kunywa bia na kitimoto ukanunue michanga na saruji!Huu uzi unenihamasisha. Ngoja nimwage tofali ka kiwanja kangu ka Kibaha nifike kwenye renta niuchune, bia hizi zina mwisho😁
Ndo ukweliii wanawake msibani wanalia na vingii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeandika kama utani ila nimekumbuka siku moja tulienda kwenye msiba wa muumini mwenzetu mmoja...wakati tunarudi akina mama nilioongozana nao wakawa wanasema ila mwenzetu ana raha, amejengewa nyumba ya kuishi na zingine anapangisha hata uchungu hauwi mkubwa sana... nilishangaa kwa kweli
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe umeonaa bweni ndio kuna nyumba nzuri. Mbona watu wana mijengo ya maana Kinyerezi, goba, salasala etcSure mkuu nyumba za watanzania wengi ni Mapagale ,ukitaka kuona nyumba fika Mbweni JKT.
Sema Hujabarikiwa TuDuniani ni kama stendi tu
Unajenga stendi ili iweje wakati tunapita tu
tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Dawa yake ni kuweka njenge. Hasira hazileti njengeKama kujenga ni uamuzi wa mtu kwa nini uwekwe kwenye orodha, yaani maamuzi yangu yanawahusu nini? Kwa nini uhangaike kujua kama sikujenga ama nilijenga?
Nadhani watu tuache maisha ya kiswahili ya kufuatiliana, ishi maisha yako, sikujenga ama nilijenga is non of your business.
Nimemis mbavu za kitimoto zilizochomwa...Yaani uache kunywa bia na kitimoto ukanunue michanga na saruji!