Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Maisha si lele mama... kujitambua mapema na kukaza kizazi chako kisije kudhalilika ndo mpango. Otherwise watoto na wajukuu wataishi kukutupia lawama tu na wakati wewe ushakufa zako lakini hawatakosea bali watakuwa sahihi kwa asilimia zote ingawa na wao wakikomaa wanaweza kubadilisha hali....,Wa kwanza sharti awatengenezee njia wanaokuja ili waendeleze... MAISHA SIO LELE MAMA!
 
ray kakaa kwa mama yake miezi miwili tu munalalamika je yesu anayeishi kwa baba yake huu mwaka wa 2023 mbona hammuongelei.
 
Akija mzee Mohamed Said hapa mtatibuana!! Ile nyumba nadhani ilikuwa ya mzee muislam mmoja hivi
Licking...
Siku ya ufunguzi wa nyumba ya Mwalimu mimi nilialikwa.

Sababu ya kualikwa ni kuwa nilitoa picha za Mwalimu kwa ajili ya kuwekwa kwenye nyumba ile.

Katika ufunguzi walikuwapo Mzee Warioba na Butiku na watu wengine mashuhuri akiwapo Mzee Songambele.

Makongoro Nyerere alizungumza vipi baba yake alijenga nyumba ile.

Makongoro alisema kuwa baba yake alinunua kiwanja kile kwa fedha zake mwenyewe lakini katika ujenzi wa ile nyumba alipata msaada wa John Rupia na akina Sykes.

Mimi hili sikulijua.
Ilikuwa ndiyo mara yangu ya kwanza kusikia historia hii.


Nilipotembelewa na maofisa wa Nyumba ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bi. Gilago Victoria na Bi. Nathalia Joseph nikiwaonyesha picha za Nyerere katika Maktaba yangu 2019.​
 
Inawezekana
 
Sawa sawa mzee! Asante kwa ufafanuzi Mohamed Said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…