Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Ungefanya evaluation ya mazuri na mapungufu yao pia,hata mwalimu nyerere mpaka anang'atuka alikua hana nyumba butiama, mpaka jeshi lilipoamua kumjengea,na ile ya msasani alikua bado anadaiwa na NBC,deni, Lakini mpaka mtoto wangu anamjua mwl Nyerere japo hakuwahi kumuona, because of his legacy [emoji1241]
Lakini mzee Mengi kaacha kasri ameacha migogoro tu huku nyuma.
Under the sun everything is vanity [emoji137][emoji137]
Fuatilia vizuri Historia ya Nyerere,kalikuwa na nyumba Dar hata kabla ya kuwa Rais,sasa hivi hiyo nyumba ni museum ,kuna siku nimeiona TBC

Pia Nyerere alikuwa na nyumba butiama before kustaafu,alipostaafu ndipo akajengewa ya pili na jeshi huko butiama

All in all huyu naye ni mzembe tu,kawa Rais miaka zaidi ya 20 na akamiliki nyumba mbili tu kwa pesa ya urais,alishindwa hata kununua gari (utani hii conclusion 😂)
 
Inaonesha marehe ukimto huyo Ray hapo hawakutaka kuwatia huzuni wala kuwachosha watu msibani na majirani hivyo wasiwe na makazi mahalum!,,,,,ila yote sawa kwa maana nyumba,mali na vinginevyo ni vya duniani tyuu utaviacha,,,,hahahaa,,,,,, ila chako ni dhambi za huku duniani tu hivyoo dj waleteeeeee marehemu watalajiwa!maisha ndo haya haya.Nalog Off it's wiknd
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali


2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.


3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?


4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea


5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

7.

Itaendelea

Utajenga njiani?
Duniani ni mapito,nyumbani kwetu ni mbinguni.
Usitutishe!
 
unajitahidi kutetea ujinga mkuu
Ujinga upi? Wangapi tumeona wemejenga Mabanda mnayoita nyumba na hawana kipato wanaishia kufa kwa magonjwa yanayopona sabau tu ya kutokuwa na pesa ya uhakika wa kuendesha maisha mazuri ya kila siku.(cash flow)
Unadhani kinachowaua wazee wengi waliostaafu ni nini?
 
Back
Top Bottom