Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hapo kwa Ray kigosi nimecheka Kama mazuri vile dah😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa Ray kigosi nimecheka Kama mazuri vile dah😂😂
Kwa Kanumba,sio kweli alikuwa anamalizia kujenga nyumba yake huko Mbezi1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea
Kwa Kanumba,sio kweli alikuwa anamalizia kujenga nyumba yake huko Mbezi
Kuna shaba watatu maarufu,mmoja ni huyu anayeongelewa,mlevi na frustrated,Kuna mwingine alikuwa mke wa jenerali ulimwengu,then kuna mwingine alukuwa udsmMkuu hapo kwa Prof. Shaba kama siyo kweli vile!
Kuna nyumba ya Prof. Shaba maeneo ya Golani ukitoka Ubungo Msewe unaelekea UDSM.
Labda aligoma kuhama sababu alitaka kuendelea kula upepo wa mjini karibu na bahari.
Huyu prof watoto wake wako USA kitambo,itakuwa walimjengea ,maana wana aoartments nyingi sana hapa mjini,watoto wamesoma wana akili na hella ni maarufu sana kule Illinois USAMkuu hapo kwa Prof. Shaba kama siyo kweli vile!
Kuna nyumba ya Prof. Shaba maeneo ya Golani ukitoka Ubungo Msewe unaelekea UDSM.
Labda aligoma kuhama sababu alitaka kuendelea kula upepo wa mjini karibu na bahari.
Jamaa utasababisha jamii forum wavamiwe siku si nyingi na watu wasiojulikana ,Lisa wewe1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea
Sasa mbona kuna wengine wako hai na wewe umesema wafu...1. Dkt. Omar Alli Juma

Wewe umesha nunua ngapi? Au unajipa hope tu?Looo hakuna mtu wa mkoa wa Kilimanjaro hapo
Ila mtoa mada wewe ni mbea unafuatilia ya watu jiulize Elon Musk tajiri number one duniani ana nyumba?
Mohamed Dewji nina uhakika anayo ila sio kipaumbele chake
wanaojenga nyumba ni watu masikini wasiojiamini na maisha
Wewe hujatembea inaonekana nenda Marekani,Ulaya, na nchi zilizoendelea hakuna mtu eti anajenga nyumba wanachukua lease.Nyumba zinajengwa na real estates companies wewe unanunua
Mimi sijanunua nimejenga maana ni masikini kama weweWewe umesha nunua ngapi? Au unajipa hope tu?
[emoji23][emoji23]yani nipoteze milioni 30 kujenga wakati biblia inasema sisi ni mavumbi..