Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Inasemekana pia alitaka kujitoa illuminati, hata nyimbo zake nyingi zilikuwa na message, za kuwaponda ma illuminati, mfano kiliminat, me against the world, nk wakatumia bifu lao na Big wakammaliza.
Suge knight ndie muuaji
Huku usiende sasa ndugu maana sasa hata nikikuuliza ofisi za hao illuminati zipo wapi hautanionesha.
 
Haka katakuwa kalisoma gazeti la uwazi. Wakati mtandaoni kuna hadi picha za crime scene kabisa ambapo mauwaji yametokea kenyewe kanasema mtu ameshambuliwa ukumbini, ukumbi gani sasa huo, Diamond Jubilee au?!
 
2pac alikuwa mgovi sana.
 
50Cent ndo alipigwa tisa. Pac alichezea tano.
Nimekwenda kutazama nimegundua sipo sahihi ila siwezi kukubali kushindwa kinyonge ngoja nilete ligi tu na kubadilisha mada.

2pac amechezea jumla ya risasi 9, 5 ile siku aliposhambuliwa kwenye lift na 4 ile siku aliposhambuliwa kule Las Vegas jumla risasi 9,mbona tunabishana ndugu eti, eeeen si nakuuliza?!
 
Ishu ya vifo vya hawa mastaa vinautata sana na kamwe hatutapata uhalisia,tunafanya kuhisi tu..
 
Sawa Mmarekani mmatumbi mimi sikupingi [emoji23]
 
Mmmh aisee
Hongera ulimwona pac live live mkuu anakata roho
 
50cent kayafukua haya makaburi ya Diddy mana alianza kumweka wazi siri zake za ushoga ila sasa alipofikia kwenye hii kesi na kumtafuta LAPD officer aliyekuwa eyewitness wa shambulio kisha kuchukua video za Pac alizokuwa akieleza claims zake na kuwa Ana ushahidi na anajua mhusika wa shambulio tofauti tofauti ni Diddy ila iachwe na ibaki Kati Yao wawili.

Mzigo ukaja kwa Diddy kupigwa maswali kutokana na tuhuma hz..... Diddy anaonekana Ana kitu amekificha kwa muda mrefu kuhusiana na vifo viwili hivyo.
Na wanazidi kumtilia mashaka.
 
2Pac alimzingua jamaa mmoja nje ya ukumbi wa lile pambano la boxing la Mike Tyson. Jamaa naye ni gang member. So , baada ya pambano jamaa akaamua amalize mchezo, ingawa kuna hisia za juhusika kwa mamlaka hasa kutokana na mashairi ya kuamsha hisia za kisiasa.
 

Isije ikawa wazungu wanataka wammalize Diddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…