TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Usingekuwa mrembo ningekupiga jiwe usoni ila kwakuwa Ni mrembo ntakupiga na kitu kingine

Msiwabeze Hawa jamaa ma Daktari,wengine hapa tunaishi kwa sababu ya utaalamu wao,siku mkifanyiwa operation mtawaheshimu Sana Hawa jamaa, kifo Cha huyo mtoto Ni mpango wa Mungu,Kama uliona picha ya ile team kulikuwa na mchina,na hao wataalamu wetu hawajasomea chini ya muembe huko Tandare Ni wazi ujuzi wamepata nje
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Duh! au basi
 
rubish
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Tanzania na vitu vya serous wapi na wapi, japo ni vizuri ku appreciate vyetu lakini ukweli lazima tuuseme. Eti tunafanya tafiti ya chanjo yetu ya Corona hahahaahhaha yaani sisi bhana. Back to the topic, may her soul rest in peace
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nacheka kama mazuri, poleni sana mkuu
 
Mnapaswa kuwa na imani na ma Daktari, Mimi nimeumwa Sana kiasi kwamba hata kupiga mswaki Ni kwa tabu,kwenda chooni siwezi na hata kujigeuza kitandani siwezi ,kupumua pia siwezi,it was Covid 19, siku ikikupata ndio unaweza kuelewa ukubwa wa tatizo

Nikaenda hospital,kufika nikapimwa vipimo vingi Sana na mwisho ikawa suggested (sio proven) kwamba hii Ni Covid maana hakuna kipimo Cha Covid huko , Basi Daktari akaniandikia dawa na kuniambia nirudi nyumbani kwakuwa naishi peke yangu, na nikapona baada ya Kama week mbili
 
 
Kama hata katika hili unakosoa hivi unakua huwatendei haki madaktari waliojitahidi kutumia uwezo wao wote kuwafanya hao watoto wajitegemee.
Kwanini wafanye kazi kwa kubahatisha huku wakirisk uhai wa binadamu, hiyo operation ingefanyika India ambao tayari wana experience nzuri juu ya maswala haya kungekuwa na tatizo gani?
 
1. Tujadili kinsi ya kusaidia kufanikisha opereshen zingine kama hizi in the future
2. Tuangalie njia ya kuboresha health systems zetu
3. Tuacheni kumuandama Nakadori as if ye ndo kasababisha kifo cha the pacha
 
Bahati mbaya sana, hata hao madaktari walijua tu what's result ila nao walimwachia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…