Kweli aseeUsingekuwa mrembo ningekupiga jiwe usoni ila kwakuwa Ni mrembo ntakupiga na kitu kingine
Msiwabeze Hawa jamaa ma Daktari,wengine hapa tunaishi kwa sababu ya utaalamu wao,siku mkifanyiwa operation mtawaheshimu Sana Hawa jamaa, kifo Cha huyo mtoto Ni mpango wa Mungu,Kama uliona picha ya ile team kulikuwa na mchina,na hao wataalamu wetu hawajasomea chini ya muembe huko Tandare Ni wazi ujuzi wamepata nje
Hawakukurupuka kufanya hiyo operation, kulikuwa na ma bingwa pale,alafu ukisikia madaktari wamefanya operation Kama hii au yeyote ile sio kwamba huwa Ni ya Kwanza,huko wanaposomea wameshafanya majaribioKwanini wafanye kazi kwa kubahatisha huku wakirisk uhai wa binadamu, hiyo operation ingefanyika India ambao tayari wana experience nzuri juu ya maswala haya kungekuwa na tatizo gani?
... kuna aina ya uchawi unaishi nao na uenda mwenyewe hujijui.Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Mkuu ni kwamba wote walikuwa ICU tangu watoke chumba cha upasuaji,sio kwamba walihamishiwa huko baada ya hali kubadilikaMwenyezi amjalie uzima huyo pacha Rehema. Na kama yuko ICU, basi lolote linaweza pia kutokea.
Operation ilifanikiwa mkuu.Hakuna cha Mungu hapo hatujafikia level za kufanya hizo operation
Basi ni jambo la kusikitisha sana. Maana hakuna kitu chenye thamani ya kweli hapa duniani kama uhai.Mkuu ni kwamba wote walikuwa ICU tangu watoke chumba cha upasuaji,sio kwamba walihamishiwa huko baada ya hali kubadilika
Hapa ni kuomba Mungu tu ili apone. Maana kupona kwake pia ni ushindi kwa madaktari wetu.Uyo mwingine anaendeleaje au na yeye ni " tuombe Mungu"
2014-angalia wakiachwa hivyo hivyo wanakuwaje na wakitenganishwa inakuwaje1.Hivi wangewaacha ndio ingekuwa mbaya zaidi?
2.Mbona walikuwa na afya nzuri tu kabla ya operation?
3.Sasa wangeachwa wangeishije na kufaje?
Maswali ni mengi kuliko majibu
Kivipi waliweka siasa mbele?Uliziona wapi hizo jitihada,waliweka siasa mbele
Hapana mkuu medical mistakes hiyo ni common inatokea sehemu yeyote hata kwa madaktari bingwa.Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hili jambo huwaga linaniumiza sanaa why watoto hao na je! Ni mpango wa Mungu na Mungu anajisikiaje anapoona hao watoto wakiteseka na maumivu makaliNaomba kuuliza na kifo cha mtoto huyo kimepangwa na Mungu. Mbona Mungu karuhusu watoto wadogo wateseke hivyo.
Kama kiumbe kinaumbwa nae kwa nini awaumbe wameungana?
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mbwembwe na matangazo kama yote Walikataa kuwapeleka watoto watu India wakajitutumua , ona sasa matokeo yake , mnafanya majarbio kwenye maisha ya watu , hii imetokea pia majuzi , mwamba kaugua ghafla tumefika hospital fulan , daktar amefanya kaz yake , daah Wana tukaona hapa chenga , inabd tumkimbize hospital kubwa Zaid , aisee daktar si akazingua et anasema atakaa fresh tuuu , aisee kufika jion mchizi wetu akakata moto tulijilaumu kinyama kumsikiliza daktar wa mchongo