Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Awap, madokta wa bongo walikuwa wana kazi ya kukata kata vi neva vidogo vidogo tu, labda kubebelea utumbo tu! [emoji23][emoji23][emoji23]Kama hata katika hili unakosoa hivi unakua huwatendei haki madaktari waliojitahidi kutumia uwezo wao wote kuwafanya hao watoto wajitegemee.
Mkuu uko sahihi kabisa pia lazima tujue hii operation ilifanikiwa ndio maana huyu mtoto kaishi siku zote hizo.Hapana mkuu medical mistakes hiyo ni common inatokea sehemu yeyote hata kwa madaktari bingwa.
Nakumbuka mwaka 2019 CNN wali report idadi ya watu zaidi ya 250,000 marekani hufa na mamilion hujeruhiwa kwa kwa makosa ya kiutabibu kila mwaka.
Na kulingana na american association of justice inakadiriwa kuwa medical error ni ya 6 kwa uuaji mkubwa wa watu.
Hizi incorrect operation za hapa bongo bado hazitoshi kufifisha jitihada za madakatari wetu kwa kuwa praise wazungu wakati huko ndio kuna massive death za namna hii.
Asante mkuu kwa kunielewesha maana wengine wana nipopoa mawe tuHapana mkuu medical mistakes hiyo ni common inatokea sehemu yeyote hata kwa madaktari bingwa.
Nakumbuka mwaka 2019 CNN wali report idadi ya watu zaidi ya 250,000 marekani hufa na mamilion hujeruhiwa kwa kwa makosa ya kiutabibu kila mwaka.
Na kulingana na american association of justice inakadiriwa kuwa medical error ni ya 6 kwa uuaji mkubwa wa watu.
Hizi incorrect operation za hapa bongo bado hazitoshi kufifisha jitihada za madakatari wetu kwa kuwa praise wazungu wakati huko ndio kuna massive death za namna hii.
Mkuu kumbe wakati mwingine dish huwa lina kaa sawa? Kwa hili I second you.
Aisee, sawa mkuu. Japo sijajua hizo dawa una maanisha nini?Mie mwenyewe nimeshangaa leo umekunywa dawa kwa wakati
Najaribu kukuelewa.Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Aaah hapana usiseme hivyo, mmiliki wa uhai na kifo ni Mwenyezimungu pekee, tuwashkuru madaktari kwa jitihada zao,Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Aisee, sawa mkuu. Japo sijajua hizo dawa una maanisha nini?
Kwa siku ambazo watoto wote wamesurvive inatakiwa tuwape hongera madaktari, hata mbuyu ulianza kama mchicha.Mbona unajihami,wabongo mnachojua ni kuponda na kukashifu. Hawa watoto hawakufanyiwa operation na madaktari wa Tanzania pekee bali jopo la madaktari bingwa zaidi ya 40 toka nchi mbalimbali.
Kwa ufupi hii ilikuwa moja ya operation hatari sana, nadhani walifanya kile kinachowezekana lakini kifo hupangwa na Mungu.
Haikufanikiwa mkuu ndio maana amefariki,watoto walikuwa wameungana kwa miezi zaid ya sita,wiki hajaisha tangu wafanyiwe upasuajiOperation ilifanikiwa mkuu.
Hiyo hatua waliyofikia ni kubwa sana.Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hakuna maajabu kwenye sayansi ni kujaribu na kushindwa mpaka upate kilicho sahihi, ni kama kujaribu pea za viatu.Hata mi ningeshangaa,watoboe wote mmm ingekuwa maajabu
Ungemtibu wewe kama huyo daktari ni wa mchongo.Kwa mbwembwe na matangazo kama yote Walikataa kuwapeleka watoto watu India wakajitutumua , ona sasa matokeo yake , mnafanya majarbio kwenye maisha ya watu , hii imetokea pia majuzi , mwamba kaugua ghafla tumefika hospital fulan , daktar amefanya kaz yake , daah Wana tukaona hapa chenga , inabd tumkimbize hospital kubwa Zaid , aisee daktar si akazingua et anasema atakaa fresh tuuu , aisee kufika jion mchizi wetu akakata moto tulijilaumu kinyama kumsikiliza daktar wa mchongo