Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Hayani wakubwa ninyi. Mashetani wakubwa. Mnaua watu halafu mnataka viongozi wa dini wakae kimya au waungane na ushetani wenu kushangilia ushetani wenu dhidi ya wanadamu wenzenu!!

Hakuna kiongozi wa kweli wa dini yoyote anayeweza kushangilia utekaji na mauaji ya watu wanaomkosoa Rais. Hata viongozi wa kweli wa dini ya kiislam, kama shekhe wa kweli Yahaya, ametoa kauli iliyonyooka, inayoeleweka wazi hata na mpagani.

Ninyi wauaji bakini na BAKWATA mliyoianzisha ili kuwahadaa waislam kuwa ni taasisi inayowawakilisha wakati ni taasisi ya CCM, maalum kwaajili ya kuwapumbaza waislam.
 
Editing ya kipumbavu kabisa
 
Sasa mbona Mbowe hajakamatwa? Kwa hiyo unakubaliana na hoja ya Padre kwamba Serikali inawajua?
 
Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Nikajua una upendo kwa Waislamu wote, kumbe hadi awe na nafasi ndani ya CCM au Serikalini ndoo utamtetea.

Mzee Mohammed Kibao angekuwa ndani ya system ungepaza sauti kulaani.

Ndugu zangu Waislamu huu Uislamu wa huyu jamaa ni wa namna gani?
 
Sio anadanganywa hakunà anayemdanganya wote wanajidanganya, usimtete muuwaji kama magu alidanganywa lakini hakuna aliyemtetea akisema anadanganywa!.

Hawa viongozi wote ni wauwaji hatakama hawasjiriki Kuna baraka zao jiulize mafuru/mafwele/mafwele anashutumiwa na watu waliotekwa kuwa ni yeye lakini kama hakuhusika kwanini hafungui mashtaka kwanini jeshi halijamsimamisha kwa ajili ya uchunguzi
 
Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Kuna siku ulishawahi mkosoa RAIS muislamu.

Wewe na hao wakristo wanaoponda tu bila sababu au logic mnatofuati gani.

wote mnafanana tu sema mko opposite side.

Peleka wanao shule waache kuwa Punguani Wahed kama baba yao.
 
Yawezekana ujasiri wa polisi unapotea pale wanapokutana na wale jamaa wa 'Mbweni'!
 
Kuna siku ulishawahi mkosoa RAIS muislamu.

Wewe na hao wakristo wanaoponda tu bila sababu au logic mnatofuati gani.

wote mnafanana tu sema mko opposite side.

Peleka wanao shule waache kuwa Punguani Wahed kama baba yao.
SHULE GANI SASA,NIPELEKE WATOTO SHULE KISHA WAWE FALA KAMA WEWE WA KWENDA KUKANYAGA MAFUTA KWA MWAMPOSA ILI UFANIKIWE KUWA TAJIR??
 
Nikajua una upendo kwa Waislamu wote, kumbe hadi awe na nafasi ndani ya CCM au Serikalini ndoo utamtetea.

Mzee Mohammed Kibao angekuwa ndani ya system ungepaza sauti kulaani.

Ndugu zangu Waislamu huu Uislamu wa huyu jamaa ni wa namna gani?
NYINYI TUNAWAJUA,MNA ROHO ZA CHUKI SANA,HAMUWEZI HATA SIKU MOJA KUGUSWA KUONA DAMU YA MUISLAMU INAMWAGIKA,PELEKENI UNAFIKI WENU MBELE HUKO.
 
Kwa hiyo serikali imewaacha CHADEMA wateke watu?
 
Wajifutilie wenyewe?
Ukijificha utajitafuta mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…