Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hayani wakubwa ninyi. Mashetani wakubwa. Mnaua watu halafu mnataka viongozi wa dini wakae kimya au waungane na ushetani wenu kushangilia ushetani wenu dhidi ya wanadamu wenzenu!!Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Hakuna kiongozi wa kweli wa dini yoyote anayeweza kushangilia utekaji na mauaji ya watu wanaomkosoa Rais. Hata viongozi wa kweli wa dini ya kiislam, kama shekhe wa kweli Yahaya, ametoa kauli iliyonyooka, inayoeleweka wazi hata na mpagani.
Ninyi wauaji bakini na BAKWATA mliyoianzisha ili kuwahadaa waislam kuwa ni taasisi inayowawakilisha wakati ni taasisi ya CCM, maalum kwaajili ya kuwapumbaza waislam.