Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

mambo inaonekana ccm haijiamini, ni swala la muda tuu.
Nadhani ni muhimu tuanze kuwa wakweli.
Hapa siyo swala la "CCM kutojiamini".
Haya yote yanakuwa hivi kwa sababu SAMIA anajuwa hawezi kushinda na kubaki kuwa Rais hata chini ya CCM.

CCM sasa inatumika tu kama kivuli cha kujificha hao walio na ajenda ya kuhakikisha Samia anabaki kuwa Rais, hata kwa njia haramu kama hizi.
 
Serikali ya wahuni haitaki kuambiwa ukweli,
Haiwezi kupambana kwa hoja bali hoja wanapambana nazo kupitia wasiojulikana na police wao form four failure
Watu wasitumie kofia ya dini kufanya siasa.

Wanaweza kutoka kwenye dini na kuwa Wanasiasa.

Ila yule wa Bukoba hutokaa umsikie akikodolewa Wala kushambuliwa.

Chadomo hawawezi kunielewa.
 
Vitu vingine kuzuia inahitajika akili tu, sio nguvu.

Wajameni haya mambo ya kuumizana kwakweli watanzania atupendezewi nayo.

Nimtakie Dr Kitima a healthy recovery if he can be healed na kama kweli kaumizwa au kavamiwa.

Hoja, aijibiwi kwa rungu.
 
Yeye si ndio mwenyekiti,? So ndio walewale
 
Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Muendelezo wa urithi.Ulifanya kazi back then na pia wanaona unaweza fanya kazi tena.

Kitima anafaa kuwa kama Slaa.
 
Sasa CCM maji yamezidi unga, wameshika nyuki matako
Tukisema Saa100 nchi imemshinda mkubali
Hapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu,hatujui wakati wa uchaguzi hali itakuwaje
 
Unaongea nini weweee
 
Sasa CCM maji yamezidi unga, wameshika nyuki matako
Tukisema Saa100 nchi imemshinda mkubali

Hapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu,hatujui wakati wa uchaguzi hali itakuwaje
Au siyo? 😁😁

Mshaurini awe kama dokta Mihogo badala ya kukificha kanisani
 
Angalia upuuzi kama huu.
Sasa kama taarifa imetolewa na Maria Sarungi, hilo lina tatizo gani? Unajuwa huyo Maria kapata wapi taarifa?
Hata kama kuna uhusiano wa karibu kati ya padre na huyo Sarungi, hiyo ni dhambi. Kuna sheria inayozuia watu ku-associate?

Kuna sheria huko serikalini kufanya haya? Msingi wa wewe kuyapigia upatu hapa ni upi hasa!
 
Kesi yenye interest ya Kisiasa haihitaji maigizo.

Pamoja na Mamlaka kutoa ufafanuzi.kwa nini inazuia ila mnalazimisha.

Automatically kunakuwa na Nia ovu lazima mshughuliwe.

Mwisho kama hujawahi ona Sasa ndio uone
 
Serikali ya wahuni haitaki kuambiwa ukweli,
Haiwezi kupambana kwa hoja bali hoja wanapambana nazo kupitia wasiojulikana na police wao form four failure
kama ni kweli, pamoja na kuwa nilikuwa nasapoti CCM, sasa nasema basi.
tutaanza mapambano dhidi ya ccm hadi kiekeweke
 
Kesi yenye interest ya Kisiasa haihitaji maigizo.

Pamoja na Mamlaka kutoa ufafanuzi.kwa nini inazuia ila mnalazimisha.

Automatically kunakuwa na Nia ovu lazima mshughuliwe.

Mwisho kama hujawahi ona Sasa ndio uone
Kidogo inaanza kuwa nafuu, kwa sababu kivuli kinajiondoa na watu wataona kinachochochea yote haya.
 
JPM alikuwa na hofu ya Mungu alafu ni Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake
1.Hofi ya Mungu wenu Huwa inakuaje? Inapimwaje?

2.Nipe majibu ya kipimo Cha mtu mwenye uchungu na Nchi yake .

Si ajabu Wanasiasa wanapata mbumbumbu wengi wa kuwatumikia na kuwapigania kama wewe.
 

serikali haishindwi kuthibitisha kuwa haihusiki hata kama wamehusika.

waliweza kuthibitisha la mauaji ya GEN IMRAN KOMBE hili kamwe hawashindwi.

nafikiri nimeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…