ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Au siyo? ππKidogo inaanza kuwa nafuu, kwa sababu kivuli kinajiondoa na watu wataona kinachochochea yote haya.
Wewe Unaamini kabisa serikali inaweza kumpiga fr kitima?Serikali ya wahuni haitaki kuambiwa ukweli,
Haiwezi kupambana kwa hoja bali hoja wanapambana nazo kupitia wasiojulikana na police wao form four failure
What is serikali?serikali haishindwi kuthibitisha kuwa haihusiki hata kama wamehusika.
waliweza kuthibitisha la mauaji ya GEN IMRAN KOMBE hili kamwe hawashindwi.
nafikiri nimeeleweka
Mkuu, vuta subira kidogo ukungu uishe, utaelewa kinachoendelea.Yeye si ndio mwenyekiti,? So ndio walewale
Pumbavu kabisa nawalio kutuma.....Tupo UKINGONICha msingi ni kuwa makini unapo tafuta ugomvi na serikali (you donβt know their reaction).
Hayo mengine sio shida zangu, kama uelewi lugha una uhuru wa kudharau.
Lakini mimi sikuandika kimombo kumfurahisha βStephen Fryβ not sure you will even get sarcasm (google Stephen Fry English language, it might help you to appreciate the sarcasm).
That's what I am saying. Serikali na CCM ni madubwasha tu sasa yanayotumiwa kuhalalisha uovu wa kundi maalum linaloshikilia serikali na CCM.Wewe Unaamini kabisa serikali inaweza kumpiga fr kitima?
Haihitaji D mbiliβ¦. But 100% GOT will never do that
Labda wale wenye nia zao nyingine
wasihusike kivipiKama ccm wamehusika na huu upuuzi, kanisa katoliki linatakiwa kuchukua hatua na kutoshiriki chochote na CCM.
Wanaofanya hivi hawataki Mh samia abaki madarakaniThat's what I am saying. Serikali na CCM ni madubwasha tu sasa yanayotumiwa kuhalalisha uovu wa kundi maalum linaloshikilia serikali na CCM.
Letβs just conclude religious code of conduct is not your thing.Angalia upuuzi kama huu.
Sasa kama taarifa imetolewa na Maria Sarungi, hilo lina tatizo gani? Unajuwa huyo Maria kapata wapi taarifa?
Hata kama kuna uhusiano wa karibu kati ya padre na huyo Sarungi, hiyo ni dhambi. Kuna sheria inayozuia watu ku-associate?
Kuna sheria huko serikalini kufanya haya? Msingi wa wewe kuyapigia upatu hapa ni upi hasa!
unadhani litapita?Ningekuwa mimi ni member wa Jesuit hili lisingepita hivi hivi.
EEEeeeNHEEEEE!Au siyo? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DJFCb3aNyRP/?igsh=Mm04NzdiaWZ6cHlv
Kwa kukusaidia tuu ni kwamba hapa.Duniani Haki ipo Kwa walioshika mpini.
Ukiitaka pambana ushike mpini
Kanisa litakua limefanya kitu cha kipuuzi kukubali kutumika kirahisiKama ccm wamehusika na huu upuuzi, kanisa katoliki linatakiwa kuchukua hatua na kutoshiriki chochote na CCM.
Huyu ni boss wa Wizara ya usalama wa ndani waliko.polosi wanaodhibiti waleta fujo mahakamani kama wale waliopewa discipline juzi kati.EEEeeeNHEEEEE!
Inabidi kucheka tu!
Watu kama huyo naye unamweka hapo kama mfano? EeeeeenHEEEEEeeeee!
Mbona unaijibia serikali?? Je wewe ni msemaji WA serikali??Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
Kuna rules kwenye maishaPumbavu kabisa nawalio kutuma.....Tupo UKINGONI
Use your common sense. That's not the issue in this discussion.Letβs just conclude religious code of conduct is not your thing
Leo utakuwa umebugia kilevi cha kutisha sana. Achana na ulevi wa aina hii. It's no good for your mental health.Kuna rules kwenye maisha
Dunia aizunguki tu kuna rules of physics.
Na serikali aziendeshwi tu kuna rules za ku-maintain stability.
Uwezi kuitishia nyau serikali au kuhamasisha instability ukaachwa.