Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Watu wenye akili tunasubiri kwanza taarifa ya TEC na Polisi ndio tutoe maoni. Maana inawezekana ni WAHUNI WA CHADEMA wamemvamia, halafu haohao ndio wanajifanya wamepata taarifa!!
 
Itawezekanaje wakati ndiyo imehusika? Uaminifu mkubwa wa aina gani wakati polisi wanateka raia wema hadharani na baadae polisi wanakana hadharani kuwa hawajui? HAKUNA ATAKAYEWAAMINI. Huyu ni Samia 100%.
 
It’s about his allegiance.

Ieleweke mimi siungi mkono mambo ya kuumizana.
I know, but hana allegiance to anyside, even catholic church progibit that but wanaruhusiwa kukemea vitendo viovu regardless vinatokea upande upi.
 
Watu wenye akili tunasubiri kwanza taarifa ya TEC na Polisi ndio tutoe maoni. Maana inawezekana ni WAHUNI WA CHADEMA wamemvamia, halafu haohao ndio wanajifanya wamepata taarifa!!
Huna akili yoyote, unasubiria kauli ya polisi halaf hapo hapo unashtaki chadema?

Kuwa serious ww?
 
Ndugu yangu MAXENCE MELLO mmiliki wa JAMIIFORUM unatukosea sana JF Members. Haiwezekani tetesi zenye nia mbaya kama hizi ukaendelee kuziacha tu zikienea kwa kasi kwa mwamvuli wa JF.

@moderators ondoeni hii thread hapa jamvini
Tuondolee upuuzi wako wa kiccm hapa.
 
Duh huko tunakoelekea sio kuzuri Sana, kama utamu wa madaraka ndo huu hatari
Iko hivi mazee Wasukuma Wanasemaga Kasekaseka Kalilalila !
Na Wagogo wenzangu Wanasemaga Usipoziba Ufa utajenga Ukuta !
Hali yeyote ikizoeleka baadaye kila mtu ataiona kuwa ndio kitu sahihi cha kufanya 😳 !

Kwa mintarafu hizo je ni sahihi tuwe tukifanya mabaya au mazuri ili yazoeleke na yawe yakifanywa ???!

Nchi hii ni yetu sote na vizazi vyetu
Kesho siye hatupo lakini vizazi vyetu vitakuwepo !
Tujitahidini kupanda mbegu za wema na Upendo sio mbegu za Ubaya na Chuki !
Tafakari Chukua Hatua 🙏🙏🙏
 
Kwa iyo Dr.mmeamua kuua waumin wote wakatoliki??? Kama mtu ni mkatoliki mtamliza maana kanisa limekataa uhuni wa kuua na kutesa watu?
 
pole baba Padre,
nakuombea kwa Mungu ahueweni na uponyaji wa haraka
 
yaani wetu waamue kufunga siku 21 hakuna kupanda hata boda boda ya kada wa CCM .Au kununua kwenye duka lenye bendera ya CCM au Bucha la mwana CCM .
Huna akili huna cha kufanya hadi ushinde unatafuta na kuulizia mwenye duka bodaboda, daladala ,bucha nk.chama gani? .utaehuka wewe kwa kujaza matakataka kichwani yasiyo na maana

muda si mrefu utajikuta hospitali ya vichaa mirembe

Tafuta hela wewe uondoe umaskini uliokujaa
 
Nguvu kubwa ya nini, watawala wetu hawajui kula na kipofu...
unadhani nchi zilizoendelea hakuna upigaji!? Watu wanakula na vipofu, maviwanda,elimu nzuri,afya bora na mambo mazuri kedekede nao wanakula humo humo..
TUMEFIKIA KUBAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…