Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

SerikAli..!?
Ukiambiwa alikuwa na Mke wa mtu utafanyeje;????
Hahahajaha mke wa ntu ndani nyumba yake.....tjats is cheap....etii hadii Steve anatumika kutisha kanisaaaa khaaa ili mtu atawale bora nchi ipasuke ikulu kuna biashara gani.paleèe??? Tunasubiri tamko na waraka tu kura mkapige wenyewe no reform no election.....
 
Kuteka, kutesa, kudhuru ama kuua hakujawai kuwamaliza wenye mawazo mbadala! Ni wajinga pekee na wenye akili finyu wanadhani kufanya hivyo ni Suluhu!
 
Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
mnaweza mlaumu jiwe kumbe ushauri wa yale maovu alikuwa anapewa na huyu msaidizi wake

jiwe hakuwa na roho mbaya,roho mbaya alifunzwa na msaidizi wake
 
Ni kwamba sitaki offers zao tu, mtu wa mwisho DGIS mstaafu kaacha salamu niende nichague nafasi nirudi huko,

Imaga hoja ni mtu wa kujiandikia vitu kutoka kuchwanj kwako, you are ‘not well read’

Huo ndio uhalisia, lazima uishie kuhamaki una uwezo wa kujadili hoja ukibanwa.

Hizo hasira żako za mkizi not my problem

As for me time for Lakers v Timberwolves

Mengine ni kwa serikali haya mambo ya kuumizana hayapendezi
We mchamba mavi tu huna lolote. Una stress za maisha ,kidampa. Mi ukijichanganya kwangu nakuchapa nao hii kesi nainunua. Niambie unapatikana wapi,lini na saa ngapi nitie maguu
 
Sasa unatuletea habari za Canon Law usiyo ijua?.

Wewe unaonekana una elimu kubwa kabisa, kwanin unaleta incomplete info?

Kwa maana myingine, wewe na hao Mapadre/ maaskofu nani anauelewa wa Canon Law?

Anyways, natambua jambo kama hili linakuja na hisia tofauti tofauti! basi tusiingize mambo tusiyo yajua kwa makusudi ili kutetea upande flani.
Hata hao ‘De Medici’ ambao walikuwa na ambitions za uongozi wa dini, siasa na banking.

Walielewa kutengenisha influence ya ku-control na ascendency zake ni tofauti.

Shida yenu ni kudhani mnaweza kulazimisha kanisa kuingilia vita ya siasa za CDM.

Dr Kitima aliyokuwa anafanya ni mambo binafsi (kilichotokea au madhara yake mnataka uwe mzigo wa kanisa).

Sishabikii watu kuumizwa ila mikakati ya kuichezea serikali jamaa watajibu.

Ipo hivyo duniani
 
NASHAURI VYAMA VYOTE VYA SIASA VIFUTWE ILI KUFANYA UCHUNGUZI WA MATUKIO YANAENDELEA NCHI HII NI KUTOKANA NA MAUJI,UTEKAKAJI NA USHAMBULIAJI UNAENDELEA NCHI AMBAPO HUPELEKEA VYAMA KULAUMIWA...KUTOKUFANYA HVO HAKUTOMALIZA TATIZO.
 
Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
Ni kweli Kada Mzalendo serikali isinyooshewe kidole moja kwa moja yawezekana pia isiwe hata adui zake wakawa vibaka tu wa mtaani lakini je kama ni serikali ndo imehusika itajichunguza na kukubali kuwa yenyew inahusika?
 
Kanisa katoliki aliendeshwi kwa ushabiki wa waumini wake na linaheshimu serikali.

Msingi wa social engagement ya viongozi wa kanisa ni ‘Canon law’, sasa usidhani ukitafuta ugomvi na serikali ya nchi husika kanisa lita intervene kwa niaba yako.


Kwa nchi kama marekani upande wa Catholic Church rules ni kwamba viongozi wa kanisa ni marufuku kuwa na upande wa siasa.

It’s OK kanisa kuwa na opion ata kuchagua upande wa debate kwenye maswala moral issues (especially church morals).

Vinginevyo uwezi kuwa openly compromised kanisa likutete wanamipaka yao na na kanuni zao za social and political engagement.

Learn the rules Roman Catholic Canon Law

Kanisa aliendeshwi, kusimamiwa au kujiingiza kwenye maswala yasiyo wahusu kwa kukurupuka.

Hope, Kitima will fully recover kama kweli ameshambuliwa usiku huu. Nonetheless it was coming.

Ukijiingiza kwenye siasa ukawa na upande, elewa kabisa upande wa pili wewe ni mpinzani.

JK aliwahi sema hakuna shida viongozi wa dini kuwa wanasiasa, ila kama wanataka siasa wavue majoho yao kwanza. Lakini sio kutumia waumini wao kwenye siasa.

Uvumilivu una mipaka
Gwajima kavua joho?
 
JPM alikuwa katili kweli, hata hili nalo kafanya JPM 😎
Wewe kipa mtu ana ukatili wake msiwe viazi, maana kama angekuwa haungi mkono angechukua hatua dhidi ya ukatili ulio fanywa kwenye kipindi chake, magufulli hasafishiki kwa namna yeyoye ile ana makando kando yake mengi na mengine kamethisha huyu wa sasa.
 
I dont thinf fr kitima has access to sensitive info from gov, if he had it , that would be another case, but then gov has gone soft, cant handle criticism anymore.
I know it gov hand but it went too far, and it not good in the future
Samahani lakini ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka zaidi.

Amandla...
 
Magufuli alikuwa katili Sawa na ukatili unao endelea chini ya Samia.

Wewe chawa wa jiwe hilo jitu lako halikuwa safi limekufa linanuka damu ya ndugu yangu klmy msng ww
Huyu mama anaendeleza ndio alikuwa makamu WA Jiwe.
 
Wataumiza wangapi!!?wataua wangapi!!?watafunga wangapi!!?Hizi laana zenyewe zinatosha kuwamaliza wahusika na vizazi vyao kukaa bila amani.Kama ni vyeo vya damu tutaona vitafika wapi.Wako wenyewe bungeni kila mahali na bado hawajiamini.Waliyemvunja kwa risasi wanaye gerezani bado hawajiamini,hizi damu huwa ndivyo zinawatesa wahusika hawalali ni mauzauza tu.Wengine wanakunywa pombe usiku kucha maana hata ndani ya magorofa hakukaliki,hawana amani maana hapana amani kwa wabaya.
 
Back
Top Bottom