kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,394
- 16,128
WAKATOLIKI SAMBAZA UJUMBE NI MARUFUKU KUPIGA KURA NCHI NZIMA
It's;Nimesema such thing? Kajifunze kwanza kuandika proper english sentence. I dont argue with dumb heads
Umesema??!! Mkuu hebu fanya utafiti wako vizuri..Sasa mbona hao kanisa katoliki ndo wanafaidi kushirikiana na ccm kuliko faida za ccm kushirikiana na kanisa katoliki?
Kafanyaje?Gwajima kavua joho?
wapo walionielewa na wame reply, if hujaelewa unaweza nitaweka pure swahili baadaeSamahani lakini ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka zaidi.
Amandla...
Kwani yeye kuwa CHADEMA ni kosa kisheria au hatakiwi wewe mnduku? Mbona kina mwamposa na kina BAKWATA mnao huko kila uchwao hamuwalalamikii ? punguzeni ubinafsi hii nchi ni yetu sote.Acha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Huyu Frey Edward Cosseny ni nani kwenye serikali ya CCM?
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Acha umalaya wako mbwa wewePadre Kitima anatumia dhehebu letu Catholic vibaya. Sisi sio kanisa la chadema.
Ndo nataka ujue hilo. Vizuri kama umejua sasa acha kuleta utoto kwa watu wazima.Hili sio jukwaa la watoto
Itakuwa vyema maana English yako inazidi uelewa wanguwapo walionielewa na wame reply, if hujaelewa unaweza nitaweka pure swahili baadae
Is it wrong for a person to criticize the government today, especially when it is full of evils like the current one, or is it wrong for a religious leader to support any opposition party?Would you classify Dr Kitima as a neutral clergy who has never overlapped his institutional (Catholic Church) political impartiality.
Can you defend him being a neutral clergy in the court of law based on his openly close association with members of opposition partty?
JPM alikuwa bonge la Rais lakini njo vileeee!Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Kwahiyo ukiingiza siasa ni haki kushambuliwa na hata kuuwawa?Kanisa katoliki aliendeshwi kwa ushabiki wa waumini wake na linaheshimu serikali.
Msingi wa social engagement ya viongozi wa kanisa ni ‘Canon law’, sasa usidhani ukitafuta ugomvi na serikali ya nchi husika kanisa lita intervene kwa niaba yako.
![]()
Explainer: Can a priest or a member of a religious order publicly endorse a political candidate?
Should Catholic priests or members of religious orders be endorsing political candidates? If it is allowed, is it prudent?www.americamagazine.org
Kwa nchi kama marekani upande wa Catholic Church rules ni kwamba viongozi wa kanisa ni marufuku kuwa na upande wa siasa.
It’s OK kanisa kuwa na opion ata kuchagua upande wa debate kwenye maswala moral issues (especially church morals).
Vinginevyo uwezi kuwa openly compromised kanisa likutete wanamipaka yao na na kanuni zao za social and political engagement.
Learn the rules Roman Catholic Canon Law
Kanisa aliendeshwi, kusimamiwa au kujiingiza kwenye maswala yasiyo wahusu kwa kukurupuka.
Hope, Kitima will fully recover kama kweli ameshambuliwa usiku huu. Nonetheless it was coming.
Ukijiingiza kwenye siasa ukawa na upande, elewa kabisa upande wa pili wewe ni mpinzani.
JK aliwahi sema hakuna shida viongozi wa dini kuwa wanasiasa, ila kama wanataka siasa wavue majoho yao kwanza. Lakini sio kutumia waumini wao kwenye siasa.
Uvumilivu una mipaka
Unabii unaonyesha barua tatu kutoka TEC zitaandikwa, mbili zimekwisha tayari kuandikwa.
MENE, MENE, TEKELI & PERESI
Rais Magufuli alikuwa Rais wa kwanza kumpa ndugu(binamu yake Dotto Biteko) uwaziri Mama kampa mkwe (Mchemgerwa). JPM alikuwa rais wa kwanza kupendelea watu wa asili yake(wasukuma na watu wa kanda ya ziwa) Mama Samia kaendeleza kwa kupendelea wazanzibari. JPM alikuwa rais wa kwanza kupendelea kijiji au eneo alilokuwa na kuzaliwa (Chato) Mama Samia kaendeleza na kupendelea Kizimkazi Zanzibar. JPM ni rais wa kwanza aliyemtreat mpinzani kwa kumpiga risasi zaidi ya 60 Mama Samia kaendeleza kwa kumfungulia Lissu kesi ya uhaini ambayo hukumu yake ni kifo. Kwa hiyo haya yote ni muendelezo wa aliyoianzisha Magufuli mchangiaji wa mada yupo sahihi. Na atakayekuja ataendeleza haya anayofanya Mama Samia .Unalinganisha vitu viwili tofauti.
Magufuli alikua mzalendo
Magufuli alichukia sana MAFISADI .
Magufuli hakua mnafiki .
Magufuli watu waliandamana mpaka Centrol polisi na kuimba mapambio hakuvunja watu miguu wala kuua waandamanaji .
Gwajima , Bagonza, Mwingira na askofu Shoo na kanisa Katoliki walimkosoa sana Magufuli . Wengi baadae walimwelewa nia yake ya kulinda rasilimali za nchi . Na alijua kila kitu kuhusu wanasiasa feki wa upinzani ndio maana alisema anataka upinzani wa kweli sio ule uliokua unatumiwa na genge la mafisadi akiwemo Mbowe na rafiki yake JK.
Kosa la Magufuli ni hotuba zake za kizalendo zilizokua zinawafanya watu wawachukie Mafisadi na ile hotuba ya msaliti iliyowafanya wabaya wa Kisu kumpiga risasi .
Lakini Magufuli hakua mnafiki .
Huyu ni mnafiki. Aliahidi mwenyewe Reform ,uvumilivu na maridhiano . Unajua madhara ya mkuu wa dola asiye na msimamo na kile anachokisema na kujitahidi ?
Hivi Samia angesimamia msimamo wake wa reform na maridhiano leo nchi ingekuwa hapa tulipo ?
Kwanza angeshinda kwa kishindo maana mpaka wapinzani walikua wanampenda hasa wanawake leo mpaka ndani ya CCM haaminiki ndio maana wanatumia nguvu tena ili angalau asije akapoteza kiti kwa presha na kuchanganyikiwa maana akiachwa achuane na wanasiasa mahiri atachanganyikiwa kabisa .
Yeye ndio aliunda watu wasio Julikana huyu mama anaendeleza .JPM alisingiziwa kwa mengi. Haya wasiojulikana kumbe bado wapo