utakufa na utazikwa na kuiacha ccm...hamjifunzi kwa shetani wenu jiweTuwaache police wafanye uchunguzi
utakufa na utazikwa na kuiacha ccm...hamjifunzi kwa shetani wenu jiweTuwaache police wafanye uchunguzi
Hongera, utakuwa unajua kitu kwenye hili jambo![]()
Uproar as archbishop says sharia law inevitable in UK
Williams argues official status for Islamic law could aid social cohesionwww.theguardian.com
Muulize huyo mwenzako ‘Archbishop of Canterbury’ alipojifanya anatoa ushauri wa maswala ya sheria UK.
Bunge, Serikali na media walivyomshughulikia siasa za sheria nje ya church morals zinamuhusu nini.
Mwenyewe aliomba mshamaha.
Mpigane wenyewe huko msingizie serikali ...Hawa kugombea mademu na waumini ni mambo ya kawaida sana...huende ni mume mwenza amemshambuliaKwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.
CCM na serikali yake ni laana.
Lopo Shirika la Ujasusi Katolikiutakufa na utazikwa na kuiacha ccm...hamjifunzi kwa shetani wenu jiwe
Nmeona sehemu umeandika utoto na kutishia mtu. Kubishana kwa hoja ndo mpango mzima humu JF siyo kutishana kwa vioja.Watu wazima wanatukanana kwenye dunia yako.
Kwenye dunia yetu, kukosolewa au kupishana hoja ni sehemu ya mjadala.
Sivunjil watu heshima humu, kama umesoma majibizano yetu na Kalamu huyo ni taahira. Ugomvi wetu tunaujua wenyewe
Vinginevyo situkani watu humu
Anza na hoja kinzani, kabla ya kutukana watu humu,
Hakuna aliye salama wewe jichetue tu na pombe zako za offer.Tuwaache police wafanye uchunguzi
Una hakika litapita hivi hv?Ningekuwa mimi ni member wa Jesuit hili lisingepita hivi hivi.
Kwahiyo unataka wafanye nini?Wana CCM wakatoliki washenzi sana wanacheka huyo padri kupigwa
Tumefika pabaya Sasa!
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Steve Nyerere sio wa kumjadili humu,vichaa hatuwajadili ni dhambi kulingana na hali yao jinsi walivyo.Steve Nyerere jana amewachana Watu wa Dini kupinga ccm
Anahusika moja kwa moja maana amepuuza matukio mengi sana ya namna hii ambayo kila mtu anaonaUbaya wa JPM umeendelezwa na Samia, sio kwamba ubaya wa Samia ndio unafuta maovu ya JPM. Hata kama alikua hafanyi yeye, kukaa kimya huku maovu yantendeka means alikua anasupport.
CCTV camera zipo TEC wataleta picha za ushahidi.Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
wamuambie samia no reforms no election,Kwahiyo unataka wafanye nini?
Unaishi nchi gani Mkuu? Mbona kama vile huelewi mamboHii ni hatari kubwa sana, ni Habari mbaya sana hii.
Endapo kama Habari hii ni ya kweli, basi Serikali inapaswa kufanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha kwamba inauthibitishia Umma kwa vitendo kwamba yenyewe Kamwe haihusiki kwa namna yoyote ile na shambulizi hilo.
Serikali inapaswa ifanye hivyo kwa UAMINIFU MKUBWA ili kuondokana na mashaka yoyote yale kutoka kwa Umma.
Ikumbukwe kwamba: Watu bado hawasahau kabisa kuhusiana na suala la Marehemu Mzee Kibaona suala la jaribio la Mauaji dhidi ya Tundu Lisu ambaye yupo mahabusu gerezani sasa hivi.
Hata kama tukio hilo limetekelezwa na Maadui zake binafsi huyo Padre Kitima, bado Serikali ndiyo itakayoshewa kidole zaidi. Hii ni kutokana na Ukweli mchungu Sana kwamba Mazingira halisi yaliyopo hivi Sasa hapa Tanzania Kati ya na Padre huyo na Watawala yanaonekana kuwa 'yamekorogeka vibaya sana.'
Very bad timing for the execution of such a satanic action!
Hapa Sasa mama ndiyo kagusa "live wire".Steve Nyerere jana amewachana Watu wa Dini kupinga ccm
Wrong references!Hata hao ‘De Medici’ ambao walikuwa na ambitions za uongozi wa dini, siasa na banking.
Walielewa kutengenisha influence ya ku-control na ascendency zake ni tofauti.
Shida yenu ni kudhani mnaweza kulazimisha kanisa kuingilia vita ya siasa za CDM.
Dr Kitima aliyokuwa anafanya ni mambo binafsi (kilichotokea au madhara yake mnataka uwe mzigo wa kanisa).
Sishabikii watu kuumizwa ila mikakati ya kuichezea serikali jamaa watajibu.
Ipo hivyo duniani
Unajua tunashindwa kuamini???watuwekee ata picha tu akiwa huko hospitali akitibiwa maamuzi yatakuwa mazito sanaLopo Shirika la Ujasusi Katoliki
Usiogope Mangi ukweli utajulikana🇹🇿