Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Uzuri ni kwamba hao TEC ni Taasisi kubwa ambayo ina watu mpaka Serikalini na kila mahali watu wao lazima watakuwepo tu. !
Hivyo Ukweli wataujua tu ni nani wahusika wa madudu hayo πŸ™ !
 
Endeleeni kuua Watanganyika. Ni sehemu ya wajibu wenu. Damu zao ni kiburudisho tosha kwenu..
 
Na kama hujui kuwa dhalim alikuwa mwovu kweli huna uwezo wa kubeba akili zangu.
Haya onyesha nilipocheka kwenye ile comment, mana ulivamia comment yangu utadhani malaya ameona mwanaume mpya
 
Haya onyesha nilipocheka kwenye ile comment, mana ulivamia comment yangu utadhani malaya ameona mwanaume mpya
Wewe ndiye umejichanganya wapi nimesema umecheka? Makushabu hayo yanakupeka resi.
 
Niliwaambia,

Mvutano wa waffuasi wa Ppape na wafuasi wa Mudi,

Mgawanyiko huu ndio utawafa ya wote waseme " Tukose wote"

Ndipo hapo njia ya Mtu / kanisa la kweli litatoa kiongozi kwa mara ya kwanza.

Mlawi hazuiliki.

Tusubiri πŸ™
 
Mbona kama mama anapambana na kanisa katoliki kaingia chaka sana uislam utampoteza ajue ya kuwa anapambana na serikali nyingine dunia nzima. Kanisa katoliki ni kubwa kuliko serikali ya Tanzania
 
Mbona kama mama anapambana na kanisa katoliki kaingia chaka sana uislam utampoteza ajue ya kuwa anapambana na serikali nyingine dunia nzima. Kanisa katoliki ni kubwa kuliko serikali ya Tanzania
Mshauri wake siku hizi ni Sheikh Mwaipopo
 
Mbona kama mama anapambana na kanisa katoliki kaingia chaka sana uislam utampoteza ajue ya kuwa anapambana na serikali nyingine dunia nzima. Kanisa katoliki ni kubwa kuliko serikali ya Tanzania
Kabisa, awaulize mitumee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…