Wewe ni mkatoliki na ni CCM pia.Hatuna mwana CCM anaweza kutumia akili na Elimu hata akiwa Professor!!Hakuna mkristo zaidi mkatoliki anayeweza kukemea dhambi akiwa mwanaCCM .Ni kweli mimi ni mkatoriki lakini kwa hili acha nimuite mpumbavu
Hayo ni maandiko matakatifu !!Ikimaanisha MUNGU kukaa kimya kwa muovu ni HEKIMA iliyopitiliza inayomshinda mwanadamu .Soma Bibilia kama ni mkristoKwamba mungu ana upumbavu,unajua maana ya upumbavu!?..unaweza kithubutu kumwambia babaako mpumbavu?!
SOMA 1KOR 1:25 "NA UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU.Kwamba mungu ana upumbavu,unajua maana ya upumbavu!?..unaweza kithubutu kumwambia babaako mpumbavu?!
Najua Hilo andiko,Huwa nashangaa tu mungu kuwa na upumbavu,kuthubutu tu kusema mungu ana upumbavu,hayo siyo maandiko ya mungu Bali mwandishi ambaye ni PauloSOMA 1KOR 1:25 "NA UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU.
"Articles | Europe is Closing Many Churches" Articles | Europe is Closing Many ChurchesLete fact hapa usilete mambo ya uongo huko ulaya umeenda mwaka gani na ukakuta makanisa na misikiti imefungwa
Ukilijua hilo andiko Roho matakatifu akujali kujua maana yake .Hakika utaelewa kuwa CCM mnaiba kura ,mnaua watu na Mnamwaga Damu za watu na maisha yenu hayana shida yeyote pamoja na kuwa mmetenda dhambi .Mungu wa mbinguni amewanyamazia kwa kuwa anayo hekima ipitayo uelewa wenu.Najua Hilo andiko,Huwa nashangaa tu mungu kuwa na upumbavu,kuthubutu tu kusema mungu ana upumbavu,hayo siyo maandiko ya mungu Bali mwandishi ambaye ni Paulo
Hata wewe mwenyewe ni sehemu ya mashudu, unasubiri kuliwa na mifugomashudu
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!Hayo uliyosema ni mambo madogo na ya kipuuzi ukifanananisha na mustakabali wa nchi.
Wewe unayeona kuna haja ya kuanzisha uzi ndiyo uanze sasa kuuandika. Mimi nilimjibu tu mtoa hojaAnzisha Uzi uyazungumzie ya Kanisa utajibiwa huko,Yeye acha atekeleze wajibu wake kama mwananchi,hakuna pa kujificha na uchafu huu
Ushahidi huu hapa:Lete fact hapa usilete mambo ya uongo huko ulaya umeenda mwaka gani na ukakuta makanisa na misikiti imefungwa
Halafu unajiita mkatoliki...hivi vitu wanashabikia wazee wa kahawa...
Nadhani anapaswa kuhubiri vyoteKutoua albino,kutolawiti watoto,kutozini,kutodhulumu
Kwani kwenye speech ya father kitima amezungumzia dini au maovu yanayotendwa na wenye mamlaka?Halafu unajiita mkatoliki...hivi vitu wanashabikia wazee wa kahawa...
Kwa hiyo umenifukuza ukatoliki wangu sababu siungani na Kitima?Halafu unajiita mkatoliki...hivi vitu wanashabikia wazee wa kahawa...
Maovu mkuu....Kwani kwenye speech ya father kitima amezungumzia dini au maovu yanayotendwa na wenye mamlaka?
Huyu hapa wa CCM kajaza kazaliwa 2024 na kateuulliwa kugombeaLevel yangu wewe huifikii,utakoseaje kujaza form ya kugombea serikali za mitaa ikiwa wewe ni mtu serious?
Kiongozi ambae hajui hata kujaza fomu anatakiwa aongoze mbuzi,kondoo na wanyama wengine wafugwao.Tusitete watu wenye ajenda za siriKatibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji...
Unaitenganishaje siasa na maisha ya kila siku?Kuna uwezekano mkubwa sana hauijui maana ya siasa.Uliwahi kuwasikia wafarisayo na wasadukayo na Yesu?Umewahi kujifunza kuhusu majibizano yao?Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!
Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake kisiasa.
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Acha uongo....hata wakati wa magufuli alikuwa na moto wake....wakati wa Kikwete kwa kweli sikumsikia sana. Uchaguzi wa 2020 mbona waliusema sana. Nyie ndio mnafikiri anasema kwa sababu rais ni muislam? Pumbavu zenuHuyu Kitima huwa anafikirisha saaana, enzi ya Jakaya alikua wa moto saaana, kila uchwao kwenye vyombo vya habari kuikosoa serikali
Alipoingia Mjomba Magu, Kitima kimyaaa, pamoja na matukio yoooote ya awamu ile ikiwemo na zile chaguz, hakuwa wa moto kabisaaaa
Alipoingia bi Mkubwa tuu, Kitima karudi kwa kishindo, anakosoa na kupinga mambo ambayo utawala ulopita mengi yalifanyika ila alikaa kimyaaa kama hayaoni