LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni kweli mimi ni mkatoriki lakini kwa hili acha nimuite mpumbavu
Wewe ni mkatoliki na ni CCM pia.Hatuna mwana CCM anaweza kutumia akili na Elimu hata akiwa Professor!!Hakuna mkristo zaidi mkatoliki anayeweza kukemea dhambi akiwa mwanaCCM .

Hata wewe ni Mkatoliki unayekumbatia dhambi.Laana na iwe juu yako na kizazi chako chote AMINA
 
Kwamba mungu ana upumbavu,unajua maana ya upumbavu!?..unaweza kithubutu kumwambia babaako mpumbavu?!
Hayo ni maandiko matakatifu !!Ikimaanisha MUNGU kukaa kimya kwa muovu ni HEKIMA iliyopitiliza inayomshinda mwanadamu .Soma Bibilia kama ni mkristo
 
SOMA 1KOR 1:25 "NA UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU.
Najua Hilo andiko,Huwa nashangaa tu mungu kuwa na upumbavu,kuthubutu tu kusema mungu ana upumbavu,hayo siyo maandiko ya mungu Bali mwandishi ambaye ni Paulo
 
Najua Hilo andiko,Huwa nashangaa tu mungu kuwa na upumbavu,kuthubutu tu kusema mungu ana upumbavu,hayo siyo maandiko ya mungu Bali mwandishi ambaye ni Paulo
Ukilijua hilo andiko Roho matakatifu akujali kujua maana yake .Hakika utaelewa kuwa CCM mnaiba kura ,mnaua watu na Mnamwaga Damu za watu na maisha yenu hayana shida yeyote pamoja na kuwa mmetenda dhambi .Mungu wa mbinguni amewanyamazia kwa kuwa anayo hekima ipitayo uelewa wenu.

Unajua kwanini Mnafanya hivyo na mnamalizia MUNGU nisamehe ??

UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU "
 
Hayo uliyosema ni mambo madogo na ya kipuuzi ukifanananisha na mustakabali wa nchi.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake kisiasa.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
 
Anzisha Uzi uyazungumzie ya Kanisa utajibiwa huko,Yeye acha atekeleze wajibu wake kama mwananchi,hakuna pa kujificha na uchafu huu
Wewe unayeona kuna haja ya kuanzisha uzi ndiyo uanze sasa kuuandika. Mimi nilimjibu tu mtoa hoja
 
Lete fact hapa usilete mambo ya uongo huko ulaya umeenda mwaka gani na ukakuta makanisa na misikiti imefungwa
Ushahidi huu hapa:
Screenshot_20241111_155850_Chrome.jpg
au soma chanzo hiki:-
 
Kutoua albino,kutolawiti watoto,kutozini,kutodhulumu
Nadhani anapaswa kuhubiri vyote
Kutoua albino na wakosoaji wa serikali,
kutozini hata na wanafunzi masikini kama wale mabinti walionajisiwa na waziri festo dugange na yule mkuu wa mkoa wa simiyu
Kutodhulumu chochote hasa vipato vya masikini wanaodhulumiwa na mamlaka kama tra kwa kuweka Kodi kandamizi au wizara ya fedha inapomlipisha mtanzania asiye hata na kiwanja Kodi ya ardi kupitia umeme
Na hata hayo aliyosema pia anapaswa kukemea

Kwa hiyo kukemea hakuna mipaka pengine wewe umemsikia akikemea hili tu na ukakasirika ila sisi tumemsikia mara nyingi sana akikemea karibia kila aina ya uovu

KRISTU TUMAINI LETU
 
Level yangu wewe huifikii,utakoseaje kujaza form ya kugombea serikali za mitaa ikiwa wewe ni mtu serious?
Huyu hapa wa CCM kajaza kazaliwa 2024 na kateuulliwa kugombea
 
Attachments

  • GcH4KYxW0AA0oBG.jpeg
    GcH4KYxW0AA0oBG.jpeg
    50.4 KB · Views: 4
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji...
Kiongozi ambae hajui hata kujaza fomu anatakiwa aongoze mbuzi,kondoo na wanyama wengine wafugwao.Tusitete watu wenye ajenda za siri
 
Huyu Kitima huwa anafikirisha saaana, enzi ya Jakaya alikua wa moto saaana, kila uchwao kwenye vyombo vya habari kuikosoa serikali
Alipoingia Mjomba Magu, Kitima kimyaaa, pamoja na matukio yoooote ya awamu ile ikiwemo na zile chaguz, hakuwa wa moto kabisaaaa
Alipoingia bi Mkubwa tuu, Kitima karudi kwa kishindo, anakosoa na kupinga mambo ambayo utawala ulopita mengi yalifanyika ila alikaa kimyaaa kama hayaoni
 
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake kisiasa.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Unaitenganishaje siasa na maisha ya kila siku?Kuna uwezekano mkubwa sana hauijui maana ya siasa.Uliwahi kuwasikia wafarisayo na wasadukayo na Yesu?Umewahi kujifunza kuhusu majibizano yao?
 
Huyu Kitima huwa anafikirisha saaana, enzi ya Jakaya alikua wa moto saaana, kila uchwao kwenye vyombo vya habari kuikosoa serikali
Alipoingia Mjomba Magu, Kitima kimyaaa, pamoja na matukio yoooote ya awamu ile ikiwemo na zile chaguz, hakuwa wa moto kabisaaaa
Alipoingia bi Mkubwa tuu, Kitima karudi kwa kishindo, anakosoa na kupinga mambo ambayo utawala ulopita mengi yalifanyika ila alikaa kimyaaa kama hayaoni
Acha uongo....hata wakati wa magufuli alikuwa na moto wake....wakati wa Kikwete kwa kweli sikumsikia sana. Uchaguzi wa 2020 mbona waliusema sana. Nyie ndio mnafikiri anasema kwa sababu rais ni muislam? Pumbavu zenu
 
Back
Top Bottom