Wajitokeze viongozi wengine pia wakemee huu upuuzi ambao matunda yake tunaelekea kuuona soon. Watu watafinyana this time...sidhani kama hao waliotekeleza maagizo ya kuengua wagombea wa upinzani watakuwa salama. Ni kama wanaotutawala wamechokwa na utulivu wetu kukaa kimya kwa mambo yanayotuhusu.